Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Billionea anaogopa kusema maana itabidi aongeze ulinzi, na gharama za kuwa billionea ni kubwa"Mali ninazomiliki sio zangu binafsi. Namiliki hisa kwenye makampuni. Ila sikumbuki kama ni ngapi. Mimi ni Bilionea, Nina utajiri zaidi ya Bilioni" Dr. Hamisi Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.
Na Ile ajali alimtoa kafara homeboy wetu mwandishi Temba.Huyu mchawi sana. Ilikuwa afe kwenye AJALI
Hahah naomba mtaji mkuu .Masikini ya Mungu
Hiyo B kama ni shillingi kwa mtu aliefanya kazi tena kubwa serikalini na Ubunge miaka, ni ya kujisifia?
1b ni hela ndogo sana kwa mtu kama yeye aisee
Labda angesema $1b
Anajidhalilisha sana
Hiyo 1b jamaa amesema tu ila yeye mwenyewe hamisi aliulizwa na cza kati ya 10b hadi 20b anaweza akawepo katikati akajibu ndio anaweza akawepoMasikini ya Mungu
Hiyo B kama ni shillingi kwa mtu aliefanya kazi tena kubwa serikalini na Ubunge miaka, ni ya kujisifia?
1b ni hela ndogo sana kwa mtu kama yeye aisee
Labda angesema $1b
Anajidhalilisha sana
We unayo?Masikini ya Mungu
Hiyo B kama ni shillingi kwa mtu aliefanya kazi tena kubwa serikalini na Ubunge miaka, ni ya kujisifia?
1b ni hela ndogo sana kwa mtu kama yeye aisee
Labda angesema $1b
Anajidhalilisha sana
Mimi nimemshangaa tu yeye maana mpaka Uwaziri kapita na ubungeHahah naomba mtaji mkuu .