Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
We unayo hiyo b1Mimi nimemshangaa tu yeye maana mpaka Uwaziri kapita na ubunge
Sasa kusema 1b ni kujidhalilisha tu
Hizo ni kama £285,000 tu
Kama unahitaji mtaji njoo na plan ya uhakika na iwe yetu wote
Wastaafu wanapigwa sana eti
Kwa hiyo lazima niwe makini, kusema kweli hiyo sio hela nyingi kwa aliezishika
Hapana sina Ila ninazo za kunifanya niishi kwa furahaWe unayo hiyo b1
Kama huna basi huna ubavu wa kuidharau hiyo b 1 kumbe na wewe ni ngumbaru tu mabox nibebe ya nini Mimi sio ngumbaruHapana sina Ila ninazo za kunifanya niishi kwa furaha
Nimefanya kazi miaka 45 na miaka 34 mishahara yangu haijashuka 12m kwa mwezi
Sasa ukiniuliza kuwa ninazo nitajibu sina ila marupurupu yakiingia ntakujibu
Njoo ubebe box huku hizo ni ndogo sana
Hahaahha sawa ntakuja bro kule kijiwe chetu inshaallah, halafu haya mambo ya pesa kujitangaza hivyo mtandaoni sijui ni siasa au wana plan gani.Mimi nimemshangaa tu yeye maana mpaka Uwaziri kapita na ubunge
Sasa kusema 1b ni kujidhalilisha tu
Hizo ni kama £285,000 tu
Kama unahitaji mtaji njoo na plan ya uhakika na iwe yetu wote
Wastaafu wanapigwa sana eti
Kwa hiyo lazima niwe makini, kusema kweli hiyo sio hela nyingi kwa aliezishika
Aisee! Mbona umuua kwa shinikizo la juu la damu wewe chief?Ndiyo tunajua ulitoa mtoto wako ndagu.
Utakuta kuna watu wamesema huna hela wewe akaona aanike utajiri wakeHahaahha sawa ntakuja bro kule kijiwe chetu inshaallah, halafu haya mambo ya pesa kujitangaza hivyo mtandaoni sijui ni siasa au wana plan gani.
Unaona sasaHiyo 1b jamaa amesema tu ila yeye mwenyewe hamisi aliulizwa na cza kati ya 10b hadi 20b anaweza akawepo katikati akajibu ndio anaweza akawepo
Uchafu gani huo mkuu?Serikali za kiafrika ni kwaajili ya kufanya viongozi wa aina yoyote kuwa mabilionea. Haziko kwaajili ya wananchi, kuwaletea maendeleo. Wananchi wasipolijua hili, watabaki masikini milele. Vipi Bilionea kaacha uchafu na mkewe?
Mkuu una moyo wa kipekee sana na Mungu aendelee kukubariki, nakumbuka nilwah kushea na wewe ishu yangu ya nyumba , haukuinunua ila majibu yako ni kama uliweza kuinunua na nilipenda response yako..nimesoma hapa kuhusu project na mtaji if serious nitakushirikisha jambo liwe letu sote then utali analyse uone namna gan uta cheap in kama litakupendezaMimi nimemshangaa tu yeye maana mpaka Uwaziri kapita na ubunge
Sasa kusema 1b ni kujidhalilisha tu
Hizo ni kama £285,000 tu
Kama unahitaji mtaji njoo na plan ya uhakika na iwe yetu wote
Wastaafu wanapigwa sana eti
Kwa hiyo lazima niwe makini, kusema kweli hiyo sio hela nyingi kwa aliezishika
Hongera sana Dr.kigwangwala"Mali ninazomiliki sio zangu binafsi. Namiliki hisa kwenye makampuni. Ila sikumbuki kama ni ngapi. Mimi ni Bilionea, Nina utajiri zaidi ya Bilioni" Dr. Hamisi Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.
Dunia hii ni ya mapito tuMkuu una moyo wa kipekee sana na Mungu aendelee kukubariki, nakumbuka nilwah kushea na wewe ishu yangu ya nyumba , haukuinunua ila majibu yako ni kama uliweza kuinunua na nilipenda response yako..nimesoma hapa kuhusu project na mtaji if serious nitakushirikisha jambo liwe letu sote then utali analyse uone namna gan uta cheap in kama litakupendeza
Hizo zilikuwa siasa tu..Huyu jamaa ni mpumbavu mno. Alidai baada ya kutoswa uwaziri aliishi kwa shida kiasi kwamba alikosa hela ya kuwanunulia watoto wake gari la kuwapeleka shuleni Feza. Watoto wakateseka kwa ku-request bolt kila siku. Ni kiongozi mshenzi mno.