Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
Sasa ni faida ipi ya kuishi? What is the meaning of life? Hata hii internet unayotumia leo aliegundua siyo billionaire lakini yupo anaishi vizuri tu. Angesema mapito tu angengojea ajifie na sisi hatungekuwa tupo hapa.Dunia hii ni ya mapito tu
Mali hizi tunaziacha na wengine watazikuta au zitateketea tu
Nashukuru kwa hilo
Unaweza kulizwa na ndugu yako halafu akaja mtu baki kukuokoa.
Tumuombe Mungu sana na kukubali kila tunachopitia na kushukuru.
Mazuri na mabaya yote yapo Mkuu
Nina experience ya maisha sana na ninajua mengi
Karibu sana hata kwa kusaidiana ushauri ni vizuri
SawaSasa ni faida ipi ya kuishi? What is the meaning of life? Hata hii internet unayotumia leo aliegundua siyo billionaire lakini yupo anaishi vizuri tu. Angesema mapito tu angengojea ajifie na sisi hatungekuwa tupo hapa.
Huu ndio ungeseNdiyo tunajua ulitoa mtoto wako ndagu.
Na wewe wameanza kukubokoa , pole sana.Huu ndio ungese
Alisikika akiongea alijeuza wizara ya utalii...kama biashara yake ..kwa kuwaza nje ya box na kuivuna hadi kukosana na katibu mkuu wake ππ"Mali ninazomiliki sio zangu binafsi. Namiliki hisa kwenye makampuni. Ila sikumbuki kama ni ngapi. Mimi ni Bilionea, Nina utajiri zaidi ya Bilioni" Dr. Hamisi Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.
Reform ni kwa sisi pangu pakavuu,matajiri uchwara na chawa hawataki zitawapoteza kwenye ramaniMnawaona wasiotaka reforms wanajitokeza taratibu. Reforms zinaleta hofu kwa mabilionea wanasiasa wanaokula bata wakati kijijini mama anapoteza maisha kwa kukosa 150,000 ya kujifungua na tunasubiri wajerumani watuchimbie vyoo.
Walikuwa na kampuni yao ya kununua pamba MSK solutionMasikini ya Mungu
Hiyo B kama ni shillingi kwa mtu aliefanya kazi tena kubwa serikalini na Ubunge miaka, ni ya kujisifia?
1b ni hela ndogo sana kwa mtu kama yeye aisee
Labda angesema $1b
Anajidhalilisha sana
β©β©Ndani ya ccm, ubunge, uwaziri, rushwa, uonevu KWA NINI USIWE BILIONEA?,"Mali ninazomiliki sio zangu binafsi. Namiliki hisa kwenye makampuni. Ila sikumbuki kama ni ngapi. Mimi ni Bilionea, Nina utajiri zaidi ya Bilioni" Dr. Hamisi Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.
Hili jitu sijawahi kulikubali
Tuko pamoja mzee wangu, Allah akupe umri wenye manufaa.Utakuta kuna watu wamesema huna hela wewe akaona aanike utajiri wake
Ila hakuna tajiri anaejisifia utajiri wake bali sisi makapuku
Wewe wala Usijali alichonipa Allah tutagawana kwani shida iko wapi? π
Unapaswa kuwa MirembeNdiyo tunajua ulitoa mtoto wako ndagu.
Sawa Mrs KigwangwalaUnapaswa kuwa Mirembe
AmiinTuko pamoja mzee wangu, Allah akupe umri wenye manufaa.
Ona sasaWalikuwa na kampuni yao ya kununua pamba MSK solution
Iliishiaga hewani,madeni juu waliikimbia π
Ova
Jamaa ALIPIGA ZAIDI YA BILION 10 TANAPA wakati yupo waziri wa MALIASILI na Utalii"Mali ninazomiliki sio zangu binafsi. Namiliki hisa kwenye makampuni. Ila sikumbuki kama ni ngapi. Mimi ni Bilionea, Nina utajiri zaidi ya Bilioni" Dr. Hamisi Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.