DR. Kigwangalla: Mimi ni Bilionea, Namiliki hisa kwenye makampuni

Siyo huyu aliyetaka kumkopa MO mpaka sasa hawaongei. Samahani kama sio yeye maana ni siku nyingi kidogo.
 
Serikali za kiafrika ni kwaajili ya kufanya viongozi wa aina yoyote kuwa mabilionea. Haziko kwaajili ya wananchi, kuwaletea maendeleo. Wananchi wasipolijua hili, watabaki masikini milele. Vipi Bilionea kaacha uchafu na mkewe?
Hivi kuna ufahari wa mtu kuwa au kuishi kimasikini?
Kuna ubaya gani kiongozi akiwa na ukwasi?
 
Hak
Hujui usemalo
 
Sio tatizo mtu kua bilionea au tajiri ila shida namna unavyotajirika je ni kihalali?
 
Unaona sasa!?
Mara kwa mara nimekuwa nikiandika kuwa CCM ya sasa sio chama cha siasa bali ni genge la wanyang'anyi, leo umethibitisha hilo.
 
Sasa yeye bilionea, bado anataka ubunge?!
Na WADANGANYIKA watampa kura/kula!
INASIKITISHA SANA SANA SANA..
Ubunge siyo kwa ajili ya maskini tu, ni kwa mtu yeyote bila kujali kipato chake.
 
Tunajua ni Bilionea, Ndagu ya damu yako halisi haikatai.
Ni mwendo wa kumimina maokoto tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…