johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dr Kigwangalla amesema mzee Kikwete ndiye aliyemfungulia mlango wa kuingia kwenye siasa hivyo anajisikia fahari sana.
Kigwangalla amemtakia mstaafu mzee Kikwete maisha marefu na yenye furaha.
Awali Kigwangalla alisema mawaziri wanaoteuliwa kwa kubebwa huwa hawana ubunifu na huishia kukaa tu maofisini lakini mawaziri wenye maono na uthubutu wa kutenda huambulia misukosuko mingi ikiwemo kutupwa nje ya ofisi.