Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na ile ripoti ya CAG kumutuhumu bado yupo mtaani anadundaDr Kigwangalla amesema mzee Kikwete ndiye aliyemfungulia mlango wa kuingia kwenye siasa hivyo anajisikia fahari sana.
Kigwangalla amemtakia mstaafu mzee Kikwete maisha marefu na yenye furaha.
Awali Kigwangalla alisema mawaziri wanaoteuliwa kwa kubebwa huwa hawana ubunifu na huishia kukaa tu maofisini lakini mawaziri wenye maono na uthubutu wa kutenda huambulia misukosuko mingi ikiwemo kutupwa nje ya ofisi.
Hiyo pekee haikutosha. Bali alikwenda na kwa masangoma wa Nzega wakakamtoa kafara mwanaye mchanga ili apate vyeo
Hayo maagizo umeyaona yakitoka huko usemako na kwenda IKULU?!!!Lazima amfagilie aendelee kupata unafuu wa maisha maana kwa sasa maagizo yanatililika paap ndo yanaenda ikulu kutekelezwa.
Bado anakinyongo na cheo! ajiajiri sababu ana mtaji na huu ndiyo huwa wimbo wao kuwa watu wajiajiri lakini mwenyewe hawatakiDr Kigwangalla amesema mzee Kikwete ndiye aliyemfungulia mlango wa kuingia kwenye siasa hivyo anajisikia fahari sana.
Kigwangalla amemtakia mstaafu mzee Kikwete maisha marefu na yenye furaha.
Awali Kigwangalla alisema mawaziri wanaoteuliwa kwa kubebwa huwa hawana ubunifu na huishia kukaa tu maofisini lakini mawaziri wenye maono na uthubutu wa kutenda huambulia misukosuko mingi ikiwemo kutupwa nje ya ofisi.
Lazima atammalizaKuna mganga kule Tanga alimdanganya atamjengea nyumba hadi leo akipigiwa simu hashiki
Karudisha ile mil. 900 aliyotamka CAG kwenye ripoti yake? nafikiri ni wakati sasa wa PM kwenda kule maliasili baada ya kutoka wizara ya fedha.Dr Kigwangalla amesema mzee Kikwete ndiye aliyemfungulia mlango wa kuingia kwenye siasa hivyo anajisikia fahari sana.