Dr Kigwangalla: Mzee Kikwete alinifungulia mlango wa kuingia kwenye siasa, namtakia maisha marefu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Dr Kigwangalla amesema mzee Kikwete ndiye aliyemfungulia mlango wa kuingia kwenye siasa hivyo anajisikia fahari sana.

Kigwangalla amemtakia mstaafu mzee Kikwete maisha marefu na yenye furaha.

Awali Kigwangalla alisema mawaziri wanaoteuliwa kwa kubebwa huwa hawana ubunifu na huishia kukaa tu maofisini lakini mawaziri wenye maono na uthubutu wa kutenda huambulia misukosuko mingi ikiwemo kutupwa nje ya ofisi.
 
Pale jambazi anapotaka akupige nusu kaputi huanzaga hivi ili ujisahau
 
Kama mpango yake ya siasa ilifunguliwa na Jk basi aliyeifunga ni Jpm
 
Nilikuwa nasuspect huyu mheshimiwa ana multiple personality syndrome. Lakini ☝️inathibitisha.

Na mtu design hii ni wa kukaa mbali nae.
 
Yeye kabuni nini zaidi ya kutukana watu
 
Kikwete na Mwinyi ndo wamewafanya watz wengi sana kujenga nyumba vijijini na mijini, hawana hiana wazee wetu thus Mungu pia kawajalia maisha marefu waone mema waliyowatendea watz.
 
Lazima amfagilie aendelee kupata unafuu wa maisha maana kwa sasa maagizo yanatililika paap ndo yanaenda ikulu kutekelezwa.
 
Hiyo pekee haikutosha. Bali alikwenda na kwa masangoma wa Nzega wakakamtoa kafara mwanaye mchanga ili apate vyeo
 
Yeye mwenyewe walibebwa baada ya kupigwa chini na Basheal hafu leo anawaponda wanaobebwa ......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…