Dr Kigwangalla: Mzee Kikwete alinifungulia mlango wa kuingia kwenye siasa, namtakia maisha marefu!

Nadhani JK atakuwa anajutia sana kwa kuingiza mtu ambae sio sahihi kwenye career sahihi

JK Hawezi kusema tu ila huo ndio ukweli

Tumepoteza sana kama nchi kuwa na watu wasio sahihi kwenye career sahihi
 
Pamoja na ile ripoti ya CAG kumutuhumu bado yupo mtaani anadunda
 
Lazima amfagilie aendelee kupata unafuu wa maisha maana kwa sasa maagizo yanatililika paap ndo yanaenda ikulu kutekelezwa.
Hayo maagizo umeyaona yakitoka huko usemako na kwenda IKULU?!!!

Conspiracies tu zimewajaa.....
 
Bado anakinyongo na cheo! ajiajiri sababu ana mtaji na huu ndiyo huwa wimbo wao kuwa watu wajiajiri lakini mwenyewe hawataki
 
Karudisha ile mil. 900 aliyotamka CAG kwenye ripoti yake? nafikiri ni wakati sasa wa PM kwenda kule maliasili baada ya kutoka wizara ya fedha.
 
Sio wananchi waliokupigia kura
Kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…