Dr. Kumbuka nguzo ya sanaa nchini

Dr. Kumbuka nguzo ya sanaa nchini

Itabidi unitembeze halafu me nitakutembeza dar na viunga vyake...si unajua ukiwa nyumbani huwezi kutoka
Arusha na Dar huwezi kunotembeza.
Kifogo Dom na Mwanza utanishika mkono..kule aio mwenyeji sana.

Dar nimwkulia huko na kaxi zangu nyingi nafanyia huko.
Dar sifahamu mitaa ya Yombo vituka na mitaa michache tu😂😂
 
Arusha na Dar huwezi kunotembeza.
Kifogo Dom na Mwanza utanishika mkono..kule aio mwenyeji sana.

Dar nimwkulia huko na kaxi zangu nyingi nafanyia huko.
Dar sifahamu mitaa ya Yombo vituka na mitaa michache tu😂😂
Hahahah tuhamie zetu kule tumuachie dokta kumbuka uzi wake atambeee
 
MC na mtangazaji Nguli anafaa kupewa tuzo maalum kwa kuwezesha vijana kufikia ndoto zao katika Sanaa. Hivi karibuni alifankiwa kuwezesha vijana yapata 20 kucheza filamu yao ya PESA MAKARATASI. Hongersa sana Dr
nikikaa sebuleni na watoto wangu tunaangalia tv, akitokea huyu kumbuka, hadi watoto wangu wanajua huwa wananiangalia, huwa nakasirika kwasababu huwa sipendi hata kumwangalia. ni mfano mbaya sana kwa wanaume, na kila mtoto anatakiwa ajiepushe asiwe kama huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom