Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Kwa jina anaitwa dkt lick abdalah kama sijakosea jina lake,naomba kujuzwa zaidi kuhusu huyu jamaa ambaye ni mchambuzi mzuri wa soka hapa kwetu tanzania.nawasilisha wakuu
Jangili mwenye kibali
Jangili mwenye kibali
Jangili mwenye kibali
Nimekuelewa mkuu nataman jamaa ningemuona tena kwenye world cup matchesJina halisi la Dr
lick ni abdulmarick abdallah,ni mzaliwa wa kigoma na ni mtanzania pure
kwa zaidi ya 100% pia kazaliwa ktk family ambayo tabu na shida mzee wao
alikuwa na uwezo wa kuzitatua.moja ya biashara zake baba'ke Dr lick ni
umiliki wa petrol station, jina la Dr lick alipewa na wanafunzi wenzake
wakimfananisha na yule archaeologist Dr Louis Leakey aliegundua fuvu la
mtu wa kale kule Olduvai gorge mwaka 1959.kuhusu soka huyu mpira upo
damuni yaani anakula soka,anaongea soka yaani kila kitu ni soka hii ni
kwa sbb mzee wao alifunga dish antenna kitambo sana kwahiyo ameanza
kufatilia mpira tofauti na wengi wetu ambao tumeanza kufatilia mpira
sanasana kuanzia labda 1998. Lastly jamaa ni bonge la match
analyst,binafsi namkubali sana. Wadau mpoo...??
https://www.jamiiforums.com/sports/449899-edo-kumwembe-vs-shaffi-dauda-3.htmlMkuu, Dr. Liki(Abdulmalik Abdallah) anajua sana mambo ya soka nadhani kuliko wachambuzi wote sio tu wa Tz mpaka wale waliopo katika mashirika makubwa ya habari ya nje kama supersport, skysport, bbc, espn n.k. Nakumbuka miaka ya 1990's mwishoni kuelekea 2000 dtv/itv walikuwa wanaonesha mipira ya nje kama epl, euro, world cup na afcon(kabla ya zuio la supersports), Dr. Liki alikuwa na Michuzi pamoja na Poki Fereji, alikuwa anaelezea vitu vingi sana vya mpira kama vile; historia ya mpira, kwanini england hawapendi penalty shootout, panenka chip, eusebio, historia ya santiago bernabeu (inaonekana alifika kwenye huo uwanja pia), kwanini Afrika ilipewa nafasi tano World cup, kwanini roger milla alirudi uwanjani. Mpaka sasa bado anaelezea vitu kuhusiana na mpira wa nje ambavyo si rahisi kuvipata kwenye mtandao. Vile vile sio rahisi kujua anashabikia timu gani tofauti na kina dauda na kumwembe. Mara nyingi haoneshi ushabiki kabisa, wale mabwege wa supersport wengi wao wanashindwa kuficha ushabiki wao kwa timu wazipendazo. Kama yule black mdogomdogo(nadhani anaitwa Thomas Mlambo) muda wa 2010 wc alikuwa anaonesha ushabiki usio wa lazima kwa timu ya SA ambayo ilikuwa mbovu kabisa, kama mtakumbuka akiizungumzia mechi ya pili ya group stage kati ya SA na Uruguay(gk ya SA Khune alipewa red card na uruguay walipata penalty SA walifungwa 3-0). Vilevile watangazaji wao kwenye UCL wanaonesha ushabiki mkubwa kwa sevenlona.
Aisee sifuatilii sana mpira ila Dr Leaky nimemvulia kofia
Dr leakey anajua historia ya soka ila kwenye uchambuzi eddo yuko vzur zaid ya wote hao
Tukumbushe aliongea nini?simba walicheza na yanga...
Na mpaka half time yanga walikuwa wanaongoza 3-0...
Je unajuwa eddo aliongea utumbo gani?