chikwanteni
Member
- Jan 20, 2017
- 82
- 47
TV ONE hua yupo hasa j mos pia channel tenDr leakey hasikiki siku hizi!
Tatizo ni nini?
Kuna channel gani inamtumia?
Katika uchambuzi Dr. Laekey Abdallah anaemfatia ni mzee kashashaKashasha
Utamuona TV 1 kila jmosi wanaonyesha EPLhivi huyu jamaa yupo wap mkuu....long time no see him mkuu
Dr. Liki alikuwa anajua soka wakati dunia (Tanganyika) giza nene ktk medani ya soka za kimataifa!Habari wadau!
Nahitaji mawazo yenu kati ya hawa watu wanne niliowataja hapo, ni nani ambaye anajua kuchambua soka kwa ufasaha zaidi?
Shafih kila siku tunamsikia pamoja na Geofrey Leah, Dr Leaky Abdallah wengi tunamfahamu na hata Edo Kumwembe tunazisoma sana makala zake katika gazeti la Mwanaspoti.
Napata wakati mgumu kutambua. Msaada (kura) zenu wadau!