Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

Wabongo bwana mnamlinganisha Dr na akina edddo wengine hata kwenda viwanjani hapa tu UK in ndoto
 
huyu shafiiii ni poyoyo kabisa sijawahi kumuelewa
dr liki si mchambuzi japo simulizi zake zinafurahisha
eddo anajitahidi sana
 
Mwalimu kashasha period...
Wengine hawajui mpira hao especially Dauda.
 
Dr. Leaky yuko vizuri ila kuna huyu somebody Kashasha mzee wa ball balance
 
Mwl Kashasha kidogo ndio level ya Dr Leaky,hao wengine wote ni waganga njaa na Wazee wa kubeti. Juzi kati nimecheka sana ZBC2 kuna jamaa Mmoja mfupi mnene alikuwa anaigiza Kaole kipindi kile cha wakina Kanumba wakiibukia alikuwa anaigiza kwenye Tamthilia ya Mambo Hayo akijifanya ni Mwl eti nae sasa hivi ni Mchambuzi wa Soka.
 
Habari wadau!

Nahitaji mawazo yenu kati ya hawa watu wanne niliowataja hapo, ni nani ambaye anajua kuchambua soka kwa ufasaha zaidi?

Shafih kila siku tunamsikia pamoja na Geofrey Leah, Dr Leaky Abdallah wengi tunamfahamu na hata Edo Kumwembe tunazisoma sana makala zake katika gazeti la Mwanaspoti.

Napata wakati mgumu kutambua. Msaada (kura) zenu wadau!
Dr. Liki alikuwa anajua soka wakati dunia (Tanganyika) giza nene ktk medani ya soka za kimataifa!
hadi leo, kwa masimulizi ya soka Liki yuko juu, maana anayazungumza ya uwanjani na ya nje ya uwanja!
Ni vigumu sana kumpata mtu mfuatiliaji wa kiwango chake!
soka limekuwa sana kwa sasa, nadhani na umri wake lazima apishe tu vijana, ila kama unamzungumzia alipokuwa kwenye peak hao wengine wote wanasubiri!
kama ukisema kuhusu Pele, Bruce Lee, Mohammed Ali etc si sawa kuwalinganisha na wanamichezo wa leo, ndio sawa na Liki na kina Edo!
 
achen kufanansha brazil na malaw nyie et kwa kuwa zote n tm za taifa. ya dk leaky mnamfananisha na hao vjana, wapewe mda wakasome
 
Back
Top Bottom