Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
James Samwel ndio kiboko yao hao wote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu Alex Kashasha yuko vema.Koment ya maana kuliko zote kwenye huu uzi. Leaky alikuja kipindi ambacho utafutaji wa taarifa na rekodi ulikuwa mgumu sana, kwa hiyo akaonekana yuko nondo jumlisha na kumbukumbu zake murua za matukio ya soka duniani.
Kina Edo wanaonekana wababaishaji kwa kuwa taarifa zote ziko mitandaoni na kila mtu anaweza kuzipata hivyo jamaa wanaonekana copy and paste.
Binafsi simkubali yoyote, hasa kwa kuwa wengi ni wajuaji, mtu anataka ajadili siasa za soka, mambo ya kiufundi, vituko vya mashabiki... Yaani waliomakinika kwenye ufundi pekee i.e wanaochambua kilichotokea kwenye ndimu ni kama akina Mwalimu Kashasha, Ally Mayay na bwana mmoja wa kuitwa Denis Kitambi kabla hajawa kocha wa kufukuzwa na timu aliyoipandisha daraja.
Wote waliotajwa hapo juu hawamfikii huyu jamaa!! Alex Kashasha ni level nyingine kabisaBabu Alex Kashasha yuko vema.
Wapi Charles Hillary???Habari wadau!
Nahitaji mawazo yenu kati ya hawa watu wanne niliowataja hapo, ni nani ambaye anajua kuchambua soka kwa ufasaha zaidi?
Shafih kila siku tunamsikia pamoja na Geofrey Leah, Dr Leaky Abdallah wengi tunamfahamu na hata Edo Kumwembe tunazisoma sana makala zake katika gazeti la Mwanaspoti.
Napata wakati mgumu kutambua. Msaada (kura) zenu wadau!
Kumfananisha "Dr. Leakey/Rick" Abdallah na hawa wengine ni sawa na kumfananisha R. Kelly na Wasanii wa Bongo Fleva!