Scofied
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,456
- 1,673
Yote ni yote Dr Leaky ni mpango mzima na hakuna anayemzidi kwa uchambuzi mzuri wa soka hapa Tanzania
hivi huyu jamaa yupo wap mkuu....long time no see him mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote ni yote Dr Leaky ni mpango mzima na hakuna anayemzidi kwa uchambuzi mzuri wa soka hapa Tanzania
Vipi kuhusu Ezekiel Kamwaga na Maulid Kitenge wadau?
hawa nao wachambuzi ama wapiga stori za soka kama sisi.
Kumfananisha "Dr. Leakey/Rick" Abdallah na hawa wengine ni sawa na kumfananisha R. Kelly na Wasanii wa Bongo Fleva!
Vipi kuhusu Shafih na Jeff?
Kumfananisha "Dr. Leakey/Rick" Abdallah na hawa wengine ni sawa na kumfananisha R. Kelly na Wasanii wa Bongo Fleva!
Mwalimu Alex Kashasha; kupitia TBC1; hakuna kama huyo hapa Tz, mfuatilie; hao wengine wanaganga njaa tu! kama unabisha wasiliana na watangazaji wa TBC; Enock Bwigane au Jesse au Swedi Mwinyi.!
kuna huyu mwingine anaitwa saleh ally,mchambuzi katika gazeti la champion.jamaa naona anashindanidhwa na edo!