Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

Yote ni yote Dr Leaky ni mpango mzima na hakuna anayemzidi kwa uchambuzi mzuri wa soka hapa Tanzania

hivi huyu jamaa yupo wap mkuu....long time no see him mkuu
 
Dr. Ni baba lao, hao jamaa wengine ni wauza sura tu...
Sijui kwa nini vituo vya tv bongo havimtumii sana maana jamaa akianza kuchambua huwezi kuacha kumfatilia!
 
Yupo anachambua soka pale DTV.
 
Mwalimu Alex Kashasha; kupitia TBC1; hakuna kama huyo hapa Tz, mfuatilie; hao wengine wanaganga njaa tu! kama unabisha wasiliana na watangazaji wa TBC; Enock Bwigane au Jesse au Swedi Mwinyi.!
 
TBC.........???walikuwepo enzi zileee kabla haijakuwa TBC akina Charles Hillary/Ahmed Jongo nk, kwasasa kila kitu TBC ni upuuzi wa KICCM
 
Edo anaungansha story ya man u anaipeleka kwao tunduru,anaongezea na nondo alizosoma kwenye riwaya za mtobwa anatia chumvi na maneno ya mtaani! Unapata kitu kmetulia unarudia kusoma tena na tena. Wapi mwanaspoti ya leo! Edo ni nyoko eti!
 
Back
Top Bottom