Dr Levy: Ali Kiba ni dozi ya kutwa mara tatu

Dr Levy: Ali Kiba ni dozi ya kutwa mara tatu

uu vitu vingine vinakuja automatically huwezi kuvipinga....

Huwezi kumzungumzia Messi bila kumtaja Ronaldo.
Huwezi kuizungumzia Simba bila kuiweka Yanga.

Kikubwa Diamond alichomzidi Ali ni kutafuta Kiki peke yake kwa sababu Ali anafanya Muziki na Diamond anafanya biashara kwenye Muziki.
Nakusaidia kitu hapa "kiba mwanamuziki na nasibu ni msanii"
 
Ongeeni vyote xee bt we still appriciate what dimond doing naweza uliza kwa kile kilicho semwa et dimond angekuw na voice kam ali angesimamisha dunia asa hy ali wap yup kuisimamish en msinambie hataki kujitangaza kama hv asingetaka kuingia kweny tuzo za kimataifa.
 
Mwaka huu mtakoma Bila kumtaja baba enu hamwend sawa na WCB tushasema hatutoi Kiki mwaka huu mnakufa kivyenu
 
Niliwahi argue na mtu kuhusu awards za east africa tv, yeye huyo bwana alikuwa anasema zile award ni za kimataifa kwamaana tv ni ya east africa, mi nikamwambia east africa jina tu, Kenya wala uganda hakuna mwenye kuijua hiyo Tv labda wabongo waishio huko, sasa Rwanda , Burundi na Sudani ndo kabsaaaa. Kwa Tanznaia hii yenyewe ni Tv ya kidarisalama zaidi, hata ukiangalia washiriki na washindi na category zenyewe zilikuwa za kidarisalamu tu.
Hata DSTV haipo
 
Sawa tumekuelewa Msemaji Wa Ali kibakuli...
 
[HASHTAG]#Whatsup[/HASHTAG] Music Award ya Uganda #2
[HASHTAG]#BEFFTA[/HASHTAG] Awards za USA #2
[HASHTAG]#MTV[/HASHTAG] Europe music award #1
[HASHTAG]#Nafca[/HASHTAG] za Nigeria #2
[HASHTAG]#East[/HASHTAG] Africa Music Award #3
[HASHTAG]#Asfa[/HASHTAG] award Uganda #2
[HASHTAG]#Sound[/HASHTAG] City Award Nigeria #1
[HASHTAG]#Best[/HASHTAG] Celebrity Award Uganda #1
[HASHTAG]#WannaMusic[/HASHTAG] award France #1

Hizo hapo mkuu....unakaribishwa kukosoa pia.
Mbona nyingi diamond ashazpata kasoro soundcity tu
 
itu vingine vinakuja automatically.

Huwezi kumkwepa Diamond halipo Ali.
Huwezi kumkwepa Ronaldo alipo Messi.
Huwezi kuikwepa Yanga ilipo Simba.

hii ni kwa mashabiki wa Ali wanaotaka awe kama Diamond.

We ni muelewa...naamini umenielewa.
Mashabik I wa Ali wanataka kuwa kama mond so mond yupo juu yenu
 
Diamond alichomzidi Kiba ni ubunifu na akili ya biashara, full stop. Diamond has made himself a multi milion brand. He has worked so hard to spread his music to the rest of Africa. He has opened a record label, he has signed 4 artists. His brand has seen him become a brand ambassador for lucrative brands such as Vodacom. Automatically his woman and his children have also become brands (angalia 40 ya Tiffa na angalia makampuni yaliyo sponsor 40 ya Nillan). All this came through his hard work and creativity. He is becoming wealthier every year. His children and his family have a secured life and future.

Kaeni hapo mkimuongelea Ali Kiba na sauti yake. Yes ana sauti nzuri kushinda Diamond. Haya hiyo sauti inatamfikisha wapi kama hana ubunifu? Hana akili ya biashara...muziki ni talent na bila kufanya biashara utabaki unaimba for nothing. Kuweni na akili na mshaurini Ali vizuri. Mnafikir mki mponda Dai ndio Ali Kiba anafanikiwa? Diamond ameshapita yuko mbali mnoo.
Halafu mlivyo hamna akili mnamuita Dai mpenda kiki. Yes ana penda kiki, maana kiki zinampa fans wengi, zina fanya watu hata kama sio mashabiki wake wamuangalie wamfollow. Vodacom na makampuni makubwa wakiangalia wanamuona Dai anafuatwa na watu zaidi ya milion 2 kutoka kila pembe ya Africa. Who is a better person to carry their brand more than Dai?
Ndio maana nasemaga, Dai hajasoma mpaka chuo kikuu but ana akili sana za maisha. Na Mungu ana msimamia.
Kaeni hapo mkiandika mapost ya kumponda Dai na kumpaka Ali mafuta.... hata Dai aache mziki leo, Ali Kiba hamfikii mafanikio yake ng'oo. That's just how Ali Kiba is.
Naam mkuu.

We umetuelewa vzuri kabisa...hiyo ndiyo tofauti ya Ali na Nasibu.

Ali haumizi kichwa kumpita Nasibu kibiashara maana kwenye akili yake Muziki ni burudani kama anavyocheza mpira kiburudani...
 
Naam mkuu.

We umetuelewa vzuri kabisa...hiyo ndiyo tofauti ya Ali na Nasibu.

Ali haumizi kichwa kumpita Nasibu kibiashara maana kwenye akili yake Muziki ni burudani kama anavyocheza mpira kiburudani...
Asa kama anafanya mziki burudani mbona unamfananisha na anafanya mziki biashara au sizitaki mbivu izi......mnalilia adi tunzo..!!
 
Naam mkuu.

We umetuelewa vzuri kabisa...hiyo ndiyo tofauti ya Ali na Nasibu.

Ali haumizi kichwa kumpita Nasibu kibiashara maana kwenye akili yake Muziki ni burudani kama anavyocheza mpira kiburudani...

Ali kiba anafanya kazi gani?!
 
ila kaa ukijua kwamba Bila Mond bin Laaaden uyo kiba leo angekuwa kama Ally nipishe 2
 
Kiba anaekwenda Dodoma na shabiby line,likaharibika,akalisubiri litengenezwe,kaingia dodoma saa 7 za usiku,kwenda kwenye shoo akataka kuuwawa na mashabiki wenye hasira au kiba yupo huyo
 
Back
Top Bottom