Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Tuna imani na Lowassa
Huyu ndo kura yangu!!!!
Asubui hii Nachingwea kuna jua kali kaisi hicho?...... Vijana wa UVCCM vilaza kweli, saizi nimeelewa kwa nini January Makamba aliwatosa wote na kuwapiga biti wasikanyage Masaki IT centre
Nimemuona anayebisha chizi siyo bure.https://www.facebook.com/tanzaniaccm...0203401467438/
Yupo Nanchingwea kweli, Hapa kuna video na audio
Nimemuona anayebisha chizi siyo bure.
Nyie Mmesaidia Nini Lowassa?Mbona Nyie Mkiambiwa Huyo Ndugu Yenu Anaumwa Hamtaki Kukubali Ukweli??Si mseme tu ukweli anaumwa asaidiwe
Hapana, fulana, kapelo, kanga na bila kusahau sadaka zilichelewa kufikishwa kwenye maeneo. Si mnajuwa miundombinu ya barabara ilivyo huko kusini??
Wataipenda muambieni Dr lowassa ndio rais wake ang'atuke huko lowassa atamuachia wizara yake ya miundombinu