Elections 2015 Dr. Magufuli ndani ya Nachingwea,Mtama na Ruangwa - Oktoba 12, 2015

Sisi ni Wapiga kura wa mtama tunashangaa huonekani jimboni wala hupigi kampeni Huku Suleiman Mathew akiwa amejiwekea mizizi ambayo si rahisi kuing'oa kwenye siku zilizobakia, Nape umekua kimyaa mno kwanini? tunajua Mtama siyo kwenu lakini angalau ungekua unalala kwenye nyumba za wageni na Kuwatembelea wapiga Kura nape hebu jitokeze Jimbo linaenda Ukawa hili.
 





Hivi uwongo huu Ccm utawasaidia nini?

Hizo picha mbona siyo za asubuhi jamani?

Kwa nini mnapenda kumtumikia shetani asiye na fadhila?

Haya farijianeni kwa uwongo huo!
 
Mkuu ko hutaki liende ukawa?

Nape anaandaa goli la mkono kama alivyoahidi hapo nyuma.
 
Hata umalaya ni kazi...!!! Ideology nyingine bwanaa...! Kazi ya tingatinga ni kubomoa na sio kujenga..sijui nani ni kampeni manager wa masolex...!!!

Kazi ya kubomoa ufisadi,uvivu na uzembe ndio anayoenda kuifanya!!

Mabadiliko ina maana tugeuzwe kuwa mazombie!!! utajibeba
 
Kama mamzombie ya ccm yanavyomwombea mabaya Lowassa

CCM wanampenda na kumuonea huruma ndio maana wakamkata sasa nyie ukawa mmeingizana mkenge matokeo yake ndio hayo sasa mtu anayajaza!!!
 
jana niliangalia chanel ten ukifiwa mtu wa ccm huko.mtama utazikwa na watu wa ccm tu...huyu jamaa alitykana sana watu sasa anavuna alichopanda
 
raisi wa mitusi...awatukane sasa wana mtama kisa anamtaka mathew
 
NAKUMBUKA SUMBAWANGA; HATOKI MTU


 
Magufuri ;hakunaga ............anarudisha wabunge wote
 
Hivi uwongo huu Ccm utawasaidia nini?

Hizo picha mbona siyo za asubuhi jamani?

Kwa nini mnapenda kumtumikia shetani asiye na fadhila?

Haya farijianeni kwa uwongo huo!

Labda wako majira tofauti huko ni jioni picha zina giza..nasikiliza membe anatema pumba siamini hutu alikuwa waziri
 
Press ya jana jamaa alikua anafanya vikao na wataalam wake,leo tunaambiwa alikua mapumziko!

Ulitegemea ashinde amelala tu kama nyie wavivu? huyo ni mtu wa kazi mda wote hata kama ni mapumziko si kwa maana ya kusimama kufanya shughuri zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…