Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huu ni utaratibu wa kawaida kwa chama cha siasa kikubwa na kilichokomaa kama Chadema
Mungu ibariki Chadema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sory mkuu hapo huyo mnyika ndio yupi[emoji134]View attachment 1302424
Huu ni utaratibu wa kawaida kwa chama cha siasa kikubwa na kilichokomaa kama Chadema
Mungu ibariki Chadema
Mwenye shati la maua mauaSory mkuu hapo huyo mnyika ndio yupi[emoji134]
Sory mkuu hapo huyo mnyika ndio yupi[emoji134]
Haha, Mbowe bila mapinduzi ya kiuhani hatoki.Sawasawa, tusubiri siku ya Mbowe kuachia kijiti na kukabidhi ofisi.
Acha upimbi,inamaana umjui mnyika au unauliza kinafiki.Sory mkuu hapo huyo mnyika ndio yupi[emoji134]
Hata Mnyika kawekwa basi tu hawezi kuwa na impact, ni kama kwenye goli umeweka shatiHuyu Mashinji bado anaitamani hiyo ofisi japo alivyopewa hakuitendea haki, akatafute tu issue nyingine, hakuna namna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha, Mbowe bila mapinduzi ya kiuhani hatoki.
Huyu Mashinji bado anaitamani hiyo ofisi japo alivyopewa hakuitendea haki, akatafute tu issue nyingine, hakuna namna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali umesema hapa kama kuna uko, huo uko ni lini?Hiki ni chama kikubwa kinachofata utaratibu, muda wake wa ukomo ukiisha atakabidhi ofisi.