Dr Mashinji ambaye ni Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA amkabidhi ofisi Katibu Mkuu mpya John Mnyika

View attachment 1302424

Huu ni utaratibu wa kawaida kwa chama cha siasa kikubwa na kilichokomaa kama Chadema

Mungu ibariki Chadema
Mashinji Lowasa aliyekutuma uhujumu serikali ya Kikwete kwa kuitisha mgomo wa madaktari watu wakafa kibao kwa kukosa huduma muhimbiki hatimaye Mungu kakulipa malipo yako hapa hapa Duniani na bado Mungu atakuonyesha Cha mtema kuni Wewe na Lowasa wako
 
Mnyika jiandae na wewe kupata kiboko toka kwa Mungu uliitisha mgomo wa madreva ubungo wa mabasi yaendayo mikoani watu wakaumia Sana hawakuwa na hela za kulala guest dar Wala za huko walikoenda kwa kuchelewa wako waliyopewa barua za kufukuzwa kazi,kuchelewa kufuata wagonjwa wao wawalete dar muhimbili na kusababisha wafe nk jiandae huyo anayekukabidhi alisababisha vifo vya watu kibao muhimbili.Wote wawili wauaji mnaokabidhiana
 
Mwezi umeandama au ndiyo sikukuu zimeanza ?
 
Back
Top Bottom