Dr Mashinji ambaye ni Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA amkabidhi ofisi Katibu Mkuu mpya John Mnyika

Dr Mashinji ambaye ni Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA amkabidhi ofisi Katibu Mkuu mpya John Mnyika

Mashinji Lowasa aliyekutuma uhujumu serikali ya Kikwete kwa kuitisha mgomo wa madaktari watu wakafa kibao kwa kukosa huduma muhimbiki hatimaye Mungu kakulipa malipo yako hapa hapa Duniani na bado Mungu atakuonyesha Cha mtema kuni Wewe na Lowasa wako

Umeendika kwa hasira sana, mpaka umesahau matumizi ya koma na nukta!
 
Back
Top Bottom