Dr Mashinji ambaye ni Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA amkabidhi ofisi Katibu Mkuu mpya John Mnyika

Dr Mashinji ambaye ni Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA amkabidhi ofisi Katibu Mkuu mpya John Mnyika

Mnyika anza kushughulika na matatizo ya ndani ya chama, Ruzuku zaidi ya 300 millions per month, milion mbili za wabunge kila mwezi, wafadhili wa ndani na nje. Haiwezekani chama chetu kitumie ofisi kama Banda la kuku na nwenyekiti anakaa kwenye mabangaloo mbezi beach na masaki. Chama kinaenda kufanya mikutano mlimani city kwa gharama za mamilion wakati wangeweza kujenga ukumbi wao kwa gharama ya millions 120 tu.
Najua utakutana na mfupa mgumu utapodili na haya... Tegemea kuitwa mamluki au muunga mkono juhudi, msaliti au agent wa Ccm. Mnyika safisha kikombe ndani na uje nje... Kazi njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1302424

Huu ni utaratibu wa kawaida kwa chama cha siasa kikubwa na kilichokomaa kama Chadema

Mungu ibariki Chadema
Hongera Mr. Mnyika kwa uteuzi kuwa katibu mkuu wa chadema. Nimesikiliza kwa umakini vipa umbele vyako ktk short term lakini nakuomba sana jenga makao makuu mapya na anzisha vyombo vya habari (media platform) ili kufikia wananchi kwa ufanisi. Kwa makao makuu ni kitu rahisi mno yet ni aibu kwa chadema kuendeshea harakati uchochoroni pale ufipa. Anza kwa kila mbunge kuchangia 10million/= na utaona ndani ya miezi 6 mnakuwa na makao makuu ya kisasa na ukumbi kama kitega uchumi. Peoples!! Wasalaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mboye naye ataachia lini kiti kile wengine wakalie
 
Mimi nimeandika kwamba Mbowe naye muda wake ukifika atamkabithi mrithi wake ofisi, je nimekosea?
Mlivokuwa mnalialia😭😭 Mbowe aachie ngazi kwakuwa anawapa tabu sana hamlali akili zenu mlimuachia nani?
Sasaa KIDUME HICHOOOO KIMERUDI TENA MTAJINYEA MWAKA HUU
 
Late Post: Namshukuru Katibu Mkuu wetu Mstaafu, CHADEMA Dr. Vincent Mashinji kwa utumishi wake kwa chama chetu.

Nashukuru kwa makabidhiano ya ofisi tuliyofanya Makao Makuu ya chama Jijini Dar es Salaam

#NoHateNoFear #UpendoUtuHakiAmani #PeoplesPower

FB_IMG_1577473771067.jpg
 
Mbona hawana furaha? Ayaaa... nimewahi seat ya mbele kabisa hahaha
 
Back
Top Bottom