Alinukuliwa akiwa huko huko Namibia akasema JPM yuko poa tu kumbe loooh...Kumbukumbu zako ziko vizuri? Mwaka 2019 aliteuliwa kuwa Balozi Namibia. Mwamba Jiwe Magufuli alifarikia mwaka 2021 wakati Kipilimba yuko Namibia. Halafu wewe eti alidanganya! Unakurupuka na nini?
Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia.
Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19) kabla ya uteuzi wake wa kushtua kuwa balozi wa Tanzania nchini Namibia.
Uteuzi wake ulimfanya kuwa balozi wa kwanza wa Tanzania Namibia na kuwa mtu muhimu katika utengenezaji wa ubalozi huo jijini Windhoek.
Mwaka 2022 mwanasiasa Tundu Lissu alimtuhumu Kipilimba kuongoza kikosi kazi kilichompiga risasi mjini Dodoma, Lissu alisema wameua zaidi ya watu 400 maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji.
Pia, soma
=>Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
=>Rais Magufuli amteua Diwani Athuman Msuya Mkurugenzi Mkuu (TISS), achukua nafasi ya Dr. Modestus Kipilimba
=>Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba
Kumbe? Sasa alikuwa anafanya vile ili iweje?Wewe ndio huna kumbukumbu. Kipilimba alitoa kauli akiwa Namibia. Kipindi issue ya Magufuli kutokuoneka imekuwa hot, Kipilimba aliitisha press conference akiwa Namibia na kusisitiza Rais ni mzima.
Kumbe?Kwa hivyo katumbuliwa?. Maana tuliambiwa Kuna balozi kwenye nchi za SADC ni mvivu.
Mnafiki weweApumzike ale maisha
Mengine haya ya wanadamu ni upumbavu tu usio na maana, hisia za kijinga haziwezi mfanya mtu akose kile Mungu kampa!
Hukumu za Mungu ni za haki na kweli
Za wanadamu ni upumbavu, ujinga, na husuda na wivu usio na maana
Ajiandae kulipwa laki moja kila mwisho wa mwezi
walimfuma kwenye red line za ujasusi.Kwa hivyo katumbuliwa?. Maana tuliambiwa Kuna balozi kwenye nchi za SADC ni mvivu.
Nilichosema ni sahihi kwa sababu binadamu huongozwa na hisia, chuki na wivu, ushahidi wa mwanadamu na hukumu zao ni za upendeleo na hazina ukweliMnafiki wewe
Kumbukumbu zako ziko vizuri? Mwaka 2019 aliteuliwa kuwa Balozi Namibia. Mwamba Jiwe Magufuli alifarikia mwaka 2021 wakati Kipilimba yuko Namibia. Halafu wewe eti alidanganya! Unakurupuka na nini?
Mtajuana wenyewe bwana.Nilichosema ni sahihi kwa sababu bunadamu huongozwa na hisia, chuki na wivu, ushahidi wa mwanadamu na hukumu zao ni za upendeleo na hazina ukweli
Ale maisha yake mzee
Hukumu za Mungu ndizo za kweli na haki
Mengine haya ni ya kipumbavu
Alitekeleza majukumu yake kama Balozi kuitangazia dunia kwamba Magufuli anachapa kazi !Kumbukumbu zako ziko vizuri? Mwaka 2019 aliteuliwa kuwa Balozi Namibia. Mwamba Jiwe Magufuli alifarikia mwaka 2021 wakati Kipilimba yuko Namibia. Halafu wewe eti alidanganya! Unakurupuka na nini?
Usibishane na watoto wa shule kipindi lissu anapigwa risasi walikuwa hawajanunuliwa simu na shangazi zao.Hufuatilii mambo
Kwny Hii picha aliebaki peke yake ni Madam MakakalaView attachment 2719872
The Originals. Look at how happy everyone was.
Kwa hivyo katumbuliwa?. Maana tuliambiwa Kuna balozi kwenye nchi za SADC ni mvivu.
Hatari sana πππKwny Hii picha aliebaki peke yake ni Madam Makakala
Huyo wa kushoto alistuka Dereva wake anamuonesha Message za Pongezi kutoka kwny group la Ofisini kuwa Rais karidhia ombi lake la kustaafu kwa hiyari wakati hajawahi kuomba kustaafu