Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

Hapa
View attachment 2719872
The Originals. Look at how happy everyone was.
Kipilimba alikuwa na pistol kali sana ambayo iko verified kuingia nayo popote tz inaonekana wazi ; huyu ndio alimnyetisha mchonga juu ya bwawa la mindu morogoro miaka ya 80 wabrazili kuiba dhahabu na mchonga akawatimua ndani ya masaa 24
 
Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia.

Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19) kabla ya uteuzi wake wa kushtua kuwa balozi wa Tanzania nchini Namibia.

Uteuzi wake ulimfanya kuwa balozi wa kwanza wa Tanzania Namibia na kuwa mtu muhimu katika utengenezaji wa ubalozi huo jijini Windhoek.

Mwaka 2022 mwanasiasa Tundu Lissu alimtuhumu Kipilimba kuongoza kikosi kazi kilichompiga risasi mjini Dodoma, Lissu alisema wameua zaidi ya watu 400 maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji.

Pia, soma
=>Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
=>Rais Magufuli amteua Diwani Athuman Msuya Mkurugenzi Mkuu (TISS), achukua nafasi ya Dr. Modestus Kipilimba
=>Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

ST.Magufuli atawashughulikia kama alivyowashughulikia kibiti
 
"What goes around comes around"

Mtu kama huyu sasa hivi, kweli atakuwa tena na maisha ya maana duniani?
 
Tatizo mnpata habari kwenye vyombo vya vichochoroni. Kipilimba alihojiwa na BBC mwaka 2021 akiwa hukohuko Namibia, akasema Magufuli ni mzima wa afya, akaknusha vikali taarifa za kuwa amefariki.
Nafuta niliyoandika hapo juu kuhusu "uungwana wa mkuu'Erythro'.

Hii kauli ya huyu mtu ninaikumbuka vizuri sana.
 
Back
Top Bottom