myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
AiseeHapana hatopata laki moja Haiwezekani kwa kazi yote aliofanya ya kuua watu laki si pesa lazima anakiinuamgongo cha kumpeleka mpaka aende kaburini hata sanda yake itakuwa ya dhahabu kama farao
Kipilimba alikuwa na pistol kali sana ambayo iko verified kuingia nayo popote tz inaonekana wazi ; huyu ndio alimnyetisha mchonga juu ya bwawa la mindu morogoro miaka ya 80 wabrazili kuiba dhahabu na mchonga akawatimua ndani ya masaa 24View attachment 2719872
The Originals. Look at how happy everyone was.
Likingereza lote hili ukute huna kazi. Duh maisha haya😂😂Labda alijua Magufuli was already in purgatory and it was only a matter of time for him to descend to Cerberus
ST.Magufuli atawashughulikia kama alivyowashughulikia kibitiMkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia.
Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19) kabla ya uteuzi wake wa kushtua kuwa balozi wa Tanzania nchini Namibia.
Uteuzi wake ulimfanya kuwa balozi wa kwanza wa Tanzania Namibia na kuwa mtu muhimu katika utengenezaji wa ubalozi huo jijini Windhoek.
Mwaka 2022 mwanasiasa Tundu Lissu alimtuhumu Kipilimba kuongoza kikosi kazi kilichompiga risasi mjini Dodoma, Lissu alisema wameua zaidi ya watu 400 maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji.
Pia, soma
=>Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
=>Rais Magufuli amteua Diwani Athuman Msuya Mkurugenzi Mkuu (TISS), achukua nafasi ya Dr. Modestus Kipilimba
=>Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba
wanaharibiwa na muvi hawaLikingereza lote hili ukute huna kazi. Duh maisha haya😂😂
"What goes around comes around"Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia.
Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19) kabla ya uteuzi wake wa kushtua kuwa balozi wa Tanzania nchini Namibia.
Uteuzi wake ulimfanya kuwa balozi wa kwanza wa Tanzania Namibia na kuwa mtu muhimu katika utengenezaji wa ubalozi huo jijini Windhoek.
Mwaka 2022 mwanasiasa Tundu Lissu alimtuhumu Kipilimba kuongoza kikosi kazi kilichompiga risasi mjini Dodoma, Lissu alisema wameua zaidi ya watu 400 maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji.
Pia, soma
=>Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
=>Rais Magufuli amteua Diwani Athuman Msuya Mkurugenzi Mkuu (TISS), achukua nafasi ya Dr. Modestus Kipilimba
=>Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba
mtu hataishi kwa mkate tu................."What goes around comes around"
Mtu kama huyu sasa hivi, kweli atakuwa tena na maisha ya maana duniani?
Na hapo hapo msemo haubainishi kutouhitaji huo mkate, kwa hiyo mkate bado ni muhimu kwa uhai, au siyo?mtu hataishi kwa mkate tu.................
Maokoto yake si ya kitotoAjiandae kulipwa laki moja kila mwisho wa mwezi
Hii ID ya kiumeKumbe ni huyu aliyekuwa haendi kazini analala tu madhabahuni. Mlokole aliyeanzisha kundi la kuua watu, kuteka, kutesa na kuwabambikia kesi
Hajakurupuka ni kweli Kipilimba aliongeaKumbukumbu zako ziko vizuri? Mwaka 2019 aliteuliwa kuwa Balozi Namibia. Mwamba Jiwe Magufuli alifarikia mwaka 2021 wakati Kipilimba yuko Namibia. Halafu wewe eti alidanganya! Unakurupuka na nini?
Wewe ndio kumbukumbu zako haziko vizuri.Kumbukumbu zako ziko vizuri? Mwaka 2019 aliteuliwa kuwa Balozi Namibia. Mwamba Jiwe Magufuli alifarikia mwaka 2021 wakati Kipilimba yuko Namibia. Halafu wewe eti alidanganya! Unakurupuka na nini?
KastaafishwaKwa hivyo katumbuliwa?. Maana tuliambiwa Kuna balozi kwenye nchi za SADC ni mvivu.
Wewe ndio bure kabisa tena toka humu jf usijiaibishe hujui lolote wala huna kumbukumbuKumbukumbu zako ziko vizuri? Mwaka 2019 aliteuliwa kuwa Balozi Namibia. Mwamba Jiwe Magufuli alifarikia mwaka 2021 wakati Kipilimba yuko Namibia. Halafu wewe eti alidanganya! Unakurupuka na nini?
Mmoja tu ndo kabaki kwenye uongoziView attachment 2719872
The Originals. Look at how happy everyone was.
Nafuta niliyoandika hapo juu kuhusu "uungwana wa mkuu'Erythro'.Tatizo mnpata habari kwenye vyombo vya vichochoroni. Kipilimba alihojiwa na BBC mwaka 2021 akiwa hukohuko Namibia, akasema Magufuli ni mzima wa afya, akaknusha vikali taarifa za kuwa amefariki.
Alikuwa mtu wa madhabauni hizo mishe alizifanyia wapiKumbe ni huyu aliyekuwa haendi kazini analala tu madhabahuni. Mlokole aliyeanzisha kundi la kuua watu, kuteka, kutesa na kuwabambikia kesi
Tunamwombea aishi kwani moto ni hapa hapa dunianiHuyu akifa motoni moja kwa moja