Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

Tufanye mema ndugu zangu, umri unadanganya sana, miaka 30-50 yaana hapa unajiona hukui unajipa matumaini utaishi sana

Unaumiza watu, unafanya lolote la kufurahisha watu hata kama wanaumia

Ila 60 hii hapa, unabaki na mjuto japo unatabasamu usoni

Kipilimba atakufa ananuka damu za watu, mjuto yake mpaka siku ya mwisho
Kwa mitonyo tunayopata ni kwamba, kama si Modestus Kipilimba(ex DG-TISS) watu wengi zaidi , wanasiasa, wangeuwawa kwa amri ya Mwendazake.
Kuondolewa kwa Kipilimba ktika TISS ni baada ya kukataa kumueliminate mwanasiasa fulani maarufu aliyekuwa kero kwa Mwendazake.

Mtonyaji ameeleza kuwa wakati wa Mwendazake, alipandikiza vijana wake ndani ya TISS, kufanya kazi zake binafsi, na hao ndio walikuwa wasiojulikana.
Hao vijana wa Mwendazake walifanya uchafu mwingi sana ikiwa ni pamoja na kupora mali za watu.
(Wengine wamo humu JF)
Proffessional TISS staff wengi (waliopata mafunzo Mbweni na nje ya nchi) hawakufurashiwa na mambo hayo na ilikuweo stand off kati ya makundi hayo ndani ya TISS.
Mtonyaji akaendelea kuwa baada ya Kipilimba kukataa "kumuondoa" mwanasiasa huyo high profile ndipo akatimuliwa kibabe na kuwa roughened up hadi akalazwa.
Baadaye ndiyo akapewa ubalozi.

Hali ilikuwa mbaya ndani ya Idara na alipo ingia Diwani akaanza kazi, na ali side na proffessional TISS staff, na kuanza kuisafisha TISS kwa mbinu zile zile za kijasusi.
Wale vijana wa Mwendazake wakaanza kuwa eliminated, physically!
Pamoja na mengine mengi, huo ukawa mwanzo wa Mwendazake kuhamia Chato!
 
kuna vitu vingine wabongo inabidi tujifunze, nani kasema ukiwa boss wa tiss ndio utakua unahusika na kila uovu uliopo katika idara yako?

naona watu wanamtwisha mbaba wa watu tuhuma za mauaji wakati usikute maskini baba wa watu hata alikua hapendi hizo mambo,....

ni kama cdf tu, makanali huwa wanapindua nchi lakini sijui kama cdf huwa anahusika au anakua na prior info,.... kwaio tuache kuwatwisha hawa wazee mizigo yote pengine mengine hawahusiki,

(la lissu tunajua ni kina bashite, la viroga vya maiti mbona alikua analaumiwa siro na vijana wake?....) anyway ukubwa ni jalala
Mkuu wengi hawajui kilicho nyuma ya pazia.
 
nida alikaa muda gani?
kumbuka huyu kateuliwa 2016 kuwa DG, kisha 2019 katenguliwa!
It doesn't matter maana alikua jasusi miaka mingi na tunaambiwa alikua intelligent hadi kung'ang'aniwa na vyuo vikuu vya mabeberu afundishe.

Cha ajabu pale NIDA hakuna presence yoyote utasema kitengo Cha ICT kiliwahi kuwa chini ya jasusi mkuu maana mifumo haifanyi kazi, online portal changamoto, Bado vitambulisho mpaka Leo hatujapata!! Sasa alikua na faida Gani Hadi kuwa DG?

Cha ajabu aliwahi fanya kazi NEC, mbona hakuzuia Wezi wa kura au angalau basi waibe kura kijanja sio wazi wazi vile Hadi kupelekea machafuko Zanzibar? Huo uwezo wa kijasusi mbona hakuonyesha?

Hawa jamaa ni bogus sema wanajua exaggerated tu maana wamezungukwa na wajinga
 
Kumbukumbu zako ziko vizuri? Mwaka 2019 aliteuliwa kuwa Balozi Namibia. Mwamba Jiwe Magufuli alifarikia mwaka 2021 wakati Kipilimba yuko Namibia. Halafu wewe eti alidanganya! Unakurupuka na nini?
Ni kweli alisema Magufuli anachapa kazi ni mzima,alisema akiwa huko huko Namibia. Labda ulikuwa mkakati. Hata wengine tulishangaa mtu ni balozi tenna uko mbali, halafu wewe tu katika katika mabalozi wote,unatoa taarifa za afya ya Rais.
 
Kwa mitonyo tunayopata ni kwamba, kama si Modestus Kipilimba(ex DG-TISS) watu wengi zaidi , wanasiasa, wangeuwawa kwa amri ya Mwendazake.
Kuondolewa kwa Kipilimba ktika TISS ni baada ya kukataa kumueliminate mwanasiasa fulani maarufu aliyekuwa kero kwa Mwendazake.

Mtonyaji ameeleza kuwa wakati wa Mwendazake, alipandikiza vijana wake ndani ya TISS, kufanya kazi zake binafsi, na hao ndio walikuwa wasiojulikana.
Hao vijana wa Mwendazake walifanya uchafu mwingi sana ikiwa ni pamoja na kupora mali za watu.
(Wengine wamo humu JF)
Proffessional TISS staff wengi (waliopata mafunzo Mbweni na nje ya nchi) hawakufurashiwa na mambo hayo na ilikuweo stand off kati ya makundi hayo ndani ya TISS.
Mtonyaji akaendelea kuwa baada ya Kipilimba kukataa "kumuondoa" mwanasiasa huyo high profile ndipo akatimuliwa kibabe na kuwa roughened up hadi akalazwa.
Baadaye ndiyo akapewa ubalozi.

Hali ilikuwa mbaya ndani ya Idara na alipo ingia Diwani akaanza kazi, na ali side na proffessional TISS staff, na kuanza kuisafisha TISS kwa mbinu zile zile za kijasusi.
Wale vijana wa Mwendazake wakaanza kuwa eliminated, physically!
Pamoja na mengine mengi, huo ukawa mwanzo wa Mwendazake kuhamia Chato!
hii naweza kukubaliana nayo!
pamoja na ukorofi wa vyombo vyetu vya dola, ila hao waliowahi kushika nafasi za juu (DGTISS, IGP, CDF) huwa hawana sifa za uovu, ni watu watulivu na wenye hekima sana!

Sirro pia alitukanwa sana, lkn watu wanasahau Sirro huyu huyu akiwa mwanza kwa misimamo yake na weledi wake majimbo yale ya nyamagana na ilemela yakaenda upinzani yote,.... bila Sirro lisingetokea hilo!

vyombo vyetu vya dola vinafanya kazi nzuri sana, hasa ktk mazingira magumu kiutendaji kama haya ya tanzania..... hata hivyo element za 'kinazi' zipo kwenye majeshi yote duniani, ndio mana ni muhimu watu kuwa makini wanapojaribu kutukana/kudharau utendaji wa wakuu wa vyombo vyetu vya dola!

watu wanafikiri ni kazi rahisi kulinda hii amani, kuna majitu mengi yanatamani tuishi kwa kugombana!

thank you for your services, our brothers & sisters in uniform!
 
Ni miongoni mwa waliodanganya umma kwamba Magufuli anachapa kazi, kumbe kishakufa.
Umechanganya mafaili. Huyu alikuwa balozi wa Tanzania Namibia tangu 2019. Hivyo, wakati Magu anafariki wala hakuwepo nchini. Ila ana tuhuma zake za genge la watu wasiojulikana kipindi akiwa Mkurugenzi wa Usalama.
 
Umechanganya mafaili. Huyu alikuwa balozi wa Tanzania Namibia tangu 2019. Hivyo, wakati Magu anafariki wala hakuwepo nchini. Ila na tuhuma zake za genge la watu wasiojulikana kipindi akiwa Mkurugenzi wa Usalama.
kula chuma hicho.
Matamshi hayo ya Waziri Mkuu pamoja na kauli za balozi wa Tanzania nchini Namibia, Modestus Kiplimba, ni kauli za karibuni rasmi kutolewa kwa serikali tangu wasiwasi ulipozuka mwanzoni mwa wiki hii

Akizungumza katika mahojiano na shirika la utangazaji la Namibia, balozi Kipilimba amesema anafahamu kuwa rais anaendelea vyema na anachapa kazi.

Lakini Majaliwa na Kipilimba hawajatoa maelezo zaidi na hakuna picha zozote za Rais zilizoonyeshwa. Rais Mgaufuli, mwenye umri wa miaka 61, hajaonekana hadharani tangu Februari 27, kitu ambacho kimezusha hofu sio tu ndani ya nchi bali pia nje ya mipaka.
 
Noted. Asante. I was not aware of this. Asante sana kwa kunilisha chuma.
 
Sio uvivu ni msongo wa mawazo kuua watu ni kazi ngumu sana hebu fikiria kina Saanane, gwanda na kadhalika huwezi lala wanakujia usiku wanasema nirudishe kwetu familia yangu ijue niko wapi he is living hell right here my friend
Hii sikuandika kuchekesha watu jifikirie kama angekuwa ndugu yako ungecheka..??Tuwe na huruma jamani
 
Kumbukumbu zako ziko vizuri? Mwaka 2019 aliteuliwa kuwa Balozi Namibia. Mwamba Jiwe Magufuli alifarikia mwaka 2021 wakati Kipilimba yuko Namibia. Halafu wewe eti alidanganya! Unakurupuka na nini?
Kwani hawezi kudanganya akiwa Namibia?
 
Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia.

Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19) kabla ya uteuzi wake wa kushtua kuwa balozi wa Tanzania nchini Namibia.

Uteuzi wake ulimfanya kuwa balozi wa kwanza wa Tanzania Namibia na kuwa mtu muhimu katika utengenezaji wa ubalozi huo jijini Windhoek.

Mwaka 2022 mwanasiasa Tundu Lissu alimtuhumu Kipilimba kuongoza kikosi kazi kilichompiga risasi mjini Dodoma, Lissu alisema wameua zaidi ya watu 400 maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji.

Pia, soma
=>Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
=>Rais Magufuli amteua Diwani Athuman Msuya Mkurugenzi Mkuu (TISS), achukua nafasi ya Dr. Modestus Kipilimba
=>Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Huyu maiti za kwenye viroba alihusika yeye na mwigulu akiwa waziri wa mambo ya ndani
 
Tufanye mema ndugu zangu, umri unadanganya sana, miaka 30-50 yaana hapa unajiona hukui unajipa matumaini utaishi sana

Unaumiza watu, unafanya lolote la kufurahisha watu hata kama wanaumia

Ila 60 hii hapa, unabaki na mjuto japo unatabasamu usoni

Kipilimba atakufa ananuka damu za watu, mjuto yake mpaka siku ya mwisho
Atakufa ananuka au ananuka teyari???
 
Nilishangaa Sana kuskia kumbe kipilimba na ukatili wote Eti alikua askofu wa TAG[emoji848]
Askofu ? Wa jehanam au wapi? TAG ndio nini Tanga Angusha Gurudumu? Take all and grind?? Please help hata Mungu haruhusu hiyo kuwa na kazi mbili ibilisi na mwana kondoo kweli anamkejili mungu kama Magufuli alivyokuwa anaenda kanisani ni kumdhihaki mwenyezi mungu watubu haraka sana
 
Back
Top Bottom