GE2015 Dr. Muzamili Mussa Kalokola, muhaya nshomile na Urais, infact Kikwete anamsapoti

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
sitoshangaa kusikia
Britannica ndiye DG wa TISS
jingalao ndiye bashite
johthepatist ndiye "KICHAA"
getacymine ndiye general wa wwtz

sema kwa yote wote tunatukanana humu pasipo kujali vyeo vyenu via FAKE ID
Hahaha mi ni mlala hoi wa kawaida tu
 
Hapo.man
 
Mmmh, sasa hivi jamaa yako siyo mla rushwa tu bali anakula hadi nyama za watu


Hahaha, ila haya majitu bana hata likikutembelea kwako ukiamka usiku unaweza kumkuta yuko bafuni anaimba anajisifia anavyoonekana kwenye vioo vya bafu/choo
Washamba mnaokopi na kupesti Imperialist culture,stupidity all for those who regard sukuma community as subhumans
 
Baada ya heshima hii kubwa kwa projection yako please niambie 20 na 25 kutakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…