GE2015 Dr. Muzamili Mussa Kalokola, muhaya nshomile na Urais, infact Kikwete anamsapoti

Mkuu kumbe ulikuwa deep toka kitambo, uzi huu niliusoma na ku like lakini sikuchangia, leo nimekudurusu na kukusoma tena ndipo nikakutana na hizi nondo.
Hili la Wasukuma, ukabila na kichwani nakubaliana na wewe.
P
 
Ile dhana kubadilishana kristo na Islam imekufa? Naona Prof Mbarawa Hussein Mwinyi na hata JM wanaweza kuanza kupikwa kwa sasa maana JM pia ni wale wale getini pale Knyama watoto Eagle ......
 
Hiyo inakufa
 
Kwa vile ni dhana tuu inaweza iwepo au isiwepo. Prof Mbarawa is the best option, huyu ni msomi anayefanya mambo kisomi, wakati kwa sasa mambo ni machenical na kitemi, Tatizo ya huyu ni mtu muadilifu sana, haweza kuyaendeleza haya ya undava wa dikiteta mzalendo, anahitajika kupokelewa na mtu atakayeyaendeleza yake yote bila kuuliza.

Kumhusu Prof. Mbarawa, hata mimi nimewahi kushauri
P.
 
Mkuu kumbe ulikuwa deep toka kitambo, uzi huu niliusoma na ku like lakini sikuchangia, leo nimekudurusu na kukusoma tena ndipo nikakutana na hizi nondo.
Hili la Wasukuma, ukabila na kichwani nakubaliana na wewe.
P
Kwamba wasukuma kichwani kutupu? Mkuu nawe nasikia ni Msukuma wa Ugaya mbelele, vipi na wewe kichwani kutupu? Siamini!!
 
Sijasema lazima awe Mzamiri nimentaja Makongoro, pia nikamtaja Magufuli, usichanganywe na kumtaja akiwa wa kwanza naweza kumtaja wa kwanza na hasiwe ila watatu akawa,
Watu mnaona mbali sana. Kongole mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…