britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
-
- #61
Haha labdaAkiingea kitu Britannica na Pascal Mayalla usichukulie mzaha. May be in 2025 muda kama huu tutakuwa tunafukua makaburi na kusema jamaa walitabili wakati huo Makonda akiwa rais wa Tanzania
Hakuna kitu kizuri kama, kuukubali udhaifu wako, ndio unaweza kubadilika.Hahahaha, Anko bana
Ni kweli kabisa ,nakuelewa sanaHakuna kitu kizuri kama, kuukubali udhaifu wako, ndio unaweza kubadilika.
P
Kwa mfuatiliaji mzuri sana wa mambo ya siasa na Taifa ili tuna watu watatu ambao ni wa kuangalia kwa makini,
1.Makongoro Nyerere, Mzanaki
2. Muzamir kalokola - Mhaya
3. John Magufuli- Mzinza(Mchanganyiko muhaya na wasukuma au wasuubi wa biharamulo)
Ukabila mnaukataa lakin hawa viongozi wana utumia ili mambo yao yaende vema kwenye utawala, hii ni kutokana na kuwa na watu kwenye mifumo wanaoitajika
Mkapa aliwatetea sana wachaga na kuwapa sekta nyingi huko bandarini , kwenye ma bank na TRA,
Kikwete akawakumbatia wahaya Nshomile maana alijua kabila lake haliwezi kumsaport ndo maana akawaweka sana kwenye ngazi mbali mbali za siasa,
Suala linakuja hapa kuna muhaya Muzamiri anaibuka kuchukua form japo akili zake hakizo sawa saana, pamoja na kikwete kusapot wahaya lakin anaweza akaachana na kina Membe akaangalia mtu anayetokea kanda ya ziwa karibu na wahaya, hapo sioni Mwingine ni Magufuli, atakuwa katimiza matakwa ya Mkapa ya Mwitongo waliosema ama Makongoro au Magufuli mmoja awe rais, ni Mkristuuu, ni wa Kanda pendwa, pia hawa wote wawili rushwa kwao mwiko, japo naye akiendekeza ukabila anaweza kuwajaza wasukuma ambao kajinasibisha nao mpaka tukalia hahaha, ila wasukuma watamfelisha kwasababu kichwani hazimo sana
Ndo maana nasema Kikwete anamsapoti Muhaya muzamiri lakin CV yake ikiwa siyo tuna opt Magufuli, achana na wana maigizo wanaoenda kwenye makaburi eti kuomba baraka za mwalimu(Membe) au kina lowassa wanaonunua watu kujaza mikutano, huu ni muda wa wazee hawa kustaafu, tunataka damu changa,
Ndo maana wagombea wamekuwa wengi sana kupitia CCM ili tukimkata Bilali makamu wa rais, tukamkata Sitta Spika mstaafu, Sumaye waziri mkuu mstaafu, tukamkata Pinda waziri mkuu iwe rahisi kumkata Lowassa mwenye tamaa, ijenge mazingira kwamba kumbe mawaziri wakuu wastaafu na waliopo wamekatwa
Nasikia na Mwingine Wassira naye eti alitangaza nia, huyo atulie alivyo mlevi wa madaraka ukute akikatwa NEC ataenda kugombea ubunge tena nao anaweza kuukosa maana vijana wamebase sana kwa maendeleo si watu,
KabisaKumbe Jiwe ni mzinza? Mbona huwa wanasema ni nsukuma
HahahaNimerudi kubold na kupigilia mstari hapa...akina Bashite, watu tunahangaika bure kumbe yalijulikana tangu enzi😁😁
Hukukosea kabisa. Tunayaona na kuyasikia sasa.Jk hawezi kumkubali Magufuli awe rais, alipita tu kwa nguvu ya mkapa, ila hilo la ukabila uko sahihi, wasukuma wenzangu tunajijua maana ukabila kwetu kwanza mengine baadae.
Sasa ntaanza kufuatilia nyuzi zako.
Nimegundua baadhi ya mada zako zina mzaha lkn ndani yake zina ishu za maana sana.
3. John Magufuli- Mzinza(Mchanganyiko muhaya na wasukuma au wasuubi wa biharamulo)
"Ukabila mnaukataa lakin hawa viongozi wana utumia ili mambo yao yaende vema kwenye utawala, hii ni kutokana na kuwa na watu kwenye mifumo wanaoitajika"
"Mkapa aliwatetea sana mtu anayetokea kanda ya ziwa ni Magufuli, atakuwa katimiza matakwa ya Mkapa ya Mwitongo waliosema ama Makongoro au Magufuli mmoja awe rais, ni Mkristuuu, ni wa Kanda pendwa, pia hawa wote wawili rushwa kwao mwiko, japo naye akiendekeza ukabila anaweza kuwajaza wasukuma ambao kajinasibisha nao mpaka tukalia hahaha, ila wasukuma watamfelisha kwasababu kichwani hazimo sana"
"Ndo maana wagombea wamekuwa wengi sana kupitia CCM ili tukimkata Bilali makamu wa rais, tukamkata Sitta Spika mstaafu, Sumaye waziri mkuu mstaafu, tukamkata Pinda waziri mkuu iwe rahisi kumkata Lowassa mwenye tamaa, ijenge mazingira kwamba kumbe mawaziri wakuu wastaafu na waliopo wamekatwa"
"Nasikia na Mwingine Wassira naye eti alitangaza nia, huyo atulie alivyo mlevi wa madaraka ukute akikatwa NEC ataenda kugombea ubunge tena nao anaweza kuukosa maana vijana wamebase sana kwa maendeleo si watu,"
HahaAstaghfirul
samaleko asante kwa utabiri murua great thinkerWajameni
YesHuu uzi watu waliupuuzia? Aisee, kumbe haikuwa hoax kihiivyo!
KaribuSasa ntaanza kufuatilia nyuzi zako.
Nimegundua baadhi ya mada zako zina mzaha lkn ndani yake zina ishu za maana sana.
SanaHuu uzi watu waliupuuzia? Aisee, kumbe haikuwa hoax kihiivyo!
Next chapter mzee. Nini kitajiri?Sana
Ulikua sahihi kabisaa, tumejionea wenyewee.Jk hawezi kumkubali Magufuli awe rais, alipita tu kwa nguvu ya mkapa, ila hilo la ukabila uko sahihi, wasukuma wenzangu tunajijua maana ukabila kwetu kwanza mengine baadae.
Aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
sitoshangaa kusikia
Britannica ndiye DG wa TISS
jingalao ndiye bashite
johthepatist ndiye "KICHAA"
getacymine ndiye general wa wwtz
sema kwa yote wote tunatukanana humu pasipo kujali vyeo vyenu via FAKE ID
Broo Pascal Mayalla issue ya Dpw upande wangu mimi nilimvua Makame Mbalawa kuwa Presidential materials,Kwa vile ni dhana tuu inaweza iwepo au isiwepo. Prof Mbarawa is the best option, huyu ni msomi anayefanya mambo kisomi, wakati kwa sasa mambo ni machenical na kitemi, Tatizo ya huyu ni mtu muadilifu sana, haweza kuyaendeleza haya ya undava wa dikiteta mzalendo, anahitajika kupokelewa na mtu atakayeyaendeleza yake yote bila kuuliza.
Kumhusu Prof. Mbarawa, hata mimi nimewahi kushauri
P.Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, na hoja, halafu jibu tulitoa wewe mwenyewe. Moja ya matatizo makubwa ya nchi yetu ni kutokuwa na kitu kinachoitwa succession plan kwenye urais wa nchini, hivyo mwaka wa uchaguzi ukifika, kila mtu...www.jamiiforums.com