3. John Magufuli- Mzinza(Mchanganyiko muhaya na wasukuma au wasuubi wa biharamulo)
"Ukabila mnaukataa lakin hawa viongozi wana utumia ili mambo yao yaende vema kwenye utawala, hii ni kutokana na kuwa na watu kwenye mifumo wanaoitajika"
"Mkapa aliwatetea sana mtu anayetokea kanda ya ziwa ni Magufuli, atakuwa katimiza matakwa ya Mkapa ya Mwitongo waliosema ama Makongoro au Magufuli mmoja awe rais, ni Mkristuuu, ni wa Kanda pendwa, pia hawa wote wawili rushwa kwao mwiko, japo naye akiendekeza ukabila anaweza kuwajaza wasukuma ambao kajinasibisha nao mpaka tukalia hahaha, ila wasukuma watamfelisha kwasababu kichwani hazimo sana"
"Ndo maana wagombea wamekuwa wengi sana kupitia CCM ili tukimkata Bilali makamu wa rais, tukamkata Sitta Spika mstaafu, Sumaye waziri mkuu mstaafu, tukamkata Pinda waziri mkuu iwe rahisi kumkata Lowassa mwenye tamaa, ijenge mazingira kwamba kumbe mawaziri wakuu wastaafu na waliopo wamekatwa"
"Nasikia na Mwingine Wassira naye eti alitangaza nia, huyo atulie alivyo mlevi wa madaraka ukute akikatwa NEC ataenda kugombea ubunge tena nao anaweza kuukosa maana vijana wamebase sana kwa maendeleo si watu,"