Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

Mimi ni muislamu pure lkn yule sheikh nina mashaka nae, sana lkn Uzuri yule sheikh yeye pia ameikuta tu hii dini kwa atapita kama alivyopita wengine na atatuachia dini yetu period.
 
Mimi ni muislamu pure lkn yule sheikh nina mashaka nae, sana lkn Uzuri yule sheikh yeye pia ameikuta tu hii dini kwa atapita kama alivyopita wengine na atatuachia dini yetu period.
Hapana mkuu kama mtu akikosea au ana tuhuma lazima arekebishwe na ahojiwe na hata kufukuzwa
Ila kwa sisi ni unafiki na uoga kuwa huyo ni mshirikina atawaroga
Nikisema Hana dini huyo bali maslahi tu ntakuwa nimekosea

Mange alimsema sana na Wanawake waliosemwa kwa mabaya walitoka pangoni na kuomba asiendelee kuwaanika kwani walikuwa na familia zao na hayo yalikuwa zamani ila ni ukweli hana hadhi ya kuongoza waumini ila ujinga wao na woga unatufanya kila mahali wawe dhaifu
 
Kumbuka muombewa ili apate matokeo, lazima amkili yesu, kuwa ndiyo muokozi wake, maana hakuna haja ya Imani nyingine.
Hili umelitoa wapi?
Kama hujui jambo ni busara kutulia kimya
Maombi sio kwaajili ya walioamini tu katika jina la Yesu ila ni kwa watu wote.

Unataka kusema Watoto wadogo au wasio wakristo wakiombewa Mwenyezi Mungu hawajibu kwakuwa hawajamwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wao?

Hata walevi wanaweza kuombewa na wakabadilika na wakaja kuamini baadae.
 
Je huyu apostolic ameoa au Hana mke nadiriki ku
 
Nimewasikiliza wote wawili nilichokisikia Dk.Mwaka amenyooka sana Sheikh wa Mkoa anajidhalilisha ni bora akapiga kimya tu mwanaharamu apite.
 
dini hiyo hiyo inayoMkataza dk. JJ Mwaka kulala na wake zake kitanda kimoja, ndiyo dini hiyo hiyo pia inawakataza Wanaume kula "NDOGO" kitu ambacho baadhi ya Masheikh & Wachungaji wanafanya kwa mujibu wa dk. JJ Mwaka. Dada Mkubwa wa USA aliwahi kuPost wahanga wakilalamika kuliwa NDOGO na Sheikh mmoja wa DAR.
 
Sawa mkuu,nimekuelewa, ila mwisho wa majibizano lazima watumbuize na kapambano kidogo, wachapane mangumi.
Ukijibizana na mtu kwenye mitandao hakikisha huna kashfa tangu uanze kujitambua. Kama uliua panya, ulibaka panzi, ulitoa mimba, ulilewa ukalala mitaroni,
au hata mke wako mume wako alishafanya Jambo la aibu huko nyuma, ujuee Kuna kiumbe jf anajua.
Ukianza tu Mambo yako yote yatakua hadharani. Sasa imagine wewe Ni mbunge wa kuteuliwa au DC au waziri.
 
Hayo ni maamuzi ya mtu km alale na mmoja au alale na wote maana wote ni wake zake usimpangie jinsi ya kuwahudumia kindoa au kwa maana ya ndani usimpangie jinsi ya kuwatomba ushaelewa..
Angetaka hivyo asingeyaweka hadharani.
 
Hakuna watu wanafiki na wenye IQ ndogo kama viongozi wa wavaa kobazi..mana hata uelewa wa mambo hawana..vichwa vyao vimejazwa story za miaka 2000 ilopita wengi ni lasaba felia.

Ndio mana unafiki na chuki vimewajaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwani huko peponi hao mabikra 70 kila mmoja atakua na geto lake kwamba kidume kazi yake kuzungukia mageto kipiga pumbu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hata kama shehk ana makandokando yake lakini katika hili yuko sawa,uislam haukatazi mwislamu asisaidiwe na mkristo au wasi juhusishe katika mambo fulani NO isipokua kuna mipaka


Kwa hilo shehk yuko right
Mipaka ipi??kama sio ubaguzi mtupu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni ujinga tu na wivu unawasumbua..utadhani dr mwaka aliomba mchango wa posa.

Wake zake acha aamue yeye atakacho fanya juu yao chamsingi wamekubaliana.

Mashehe ubwabwa ni shida sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
[emoji28][emoji28][emoji28]

Neema za allah sheikh.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…