political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Usichomifahamu ni iki Dini iyo unayoiongelea aina makosa wala makando kando yani imenyooka naongelea dini ya kiislamu mafundisho yote yapo ukiamua kuyafuata ni sawa usipoyafuata ni juu yako na nafsi yako shekhe au ostaz ni mtu kama wewe kama anafanya mambo machafu aimaanishi dini ndio imeruhusu No bali ni nafsi yake na atawajibika kwa mola wake yeye mwenyewedini hiyo hiyo inayoMkataza dk. JJ Mwaka kulala na wake zake kitanda kimoja, ndiyo dini hiyo hiyo pia inawakataza Wanaume kula "NDOGO" kitu ambacho baadhi ya Masheikh & Wachungaji wanafanya kwa mujibu wa dk. JJ Mwaka. Dada Mkubwa wa USA aliwahi kuPost wahanga wakilalamika kuliwa NDOGO na Sheikh mmoja wa DAR.
Sasa kale ka ibada ka-wawili ndani ya kivazi cha kuzaliwa kanataka kuvurugwa; mwacheni kila mtu aamue anataka DUA kutoka upande upiKila mtu apambane na dini yake
Kama we ni mkiristo ombewa na mkiristo mwenzako kama wewe ni muislamu ombewa. Na mwislamu mwenzako
Hatutaki tena hizi vurugu na mchanganyano na vijembe vya chinichini
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔sheikh alhaji ataacha lini kufukua mitaro michafu?
Halafu kuna sehemu pale mwenge alikuaga akija kula kitimoto ni sheikh mchafu sijawahi kuona
Anapenda kuwaingilia wanawake kwa waume kinyume na maumbile huyu firauni
Ooh kumbe ni taratibu za watuBiblia imesema hayo ?
Kuna taratibu za kanisa na taratibu za Mungu kwenye bible
ana mke na watoto wawili, mama mmoja wa kutoka mbeya. ana biashara za kusindika vyakulaJe huyu apostolic ameoa au Hana mke nadiriki ku
Hata huko kuingilia kinyume na maumbile kuliko katazwa nako ni suala la faragha ila kumekatazwa sasa wewe unaposema faragha ni sawa ila hiyo faragha yako isiwe inahusu jambo ambalo kinyume sheria.Sawa kapangiwa sikatai ila faragha yake pia unampangia ili iweje ile ni faragha shekhe unampangiaje faragha yake yeye na wake zake? Hayo masuala mengine sitaki kuyazungumzia mkuu tuende kwenye mada kuu usinitoe kwenye reli
Hivi unaelewa maana ya faragha?
Sasa hilo ndio ulitakiwa uhoji toka mwanzo na sio kushikilia kuwa hakuna tatizo kulala na wake zako wawili pamoja kama vile una andiko lenye kuruhusu hilo jambo.Nionyeshe ni wapi pameandikwa marufuku mwanaume wa kiislam kulala na wake zake wawili kwa pamoja weka bandiko? Hayo maswala mengine hayanihusu
Yule mama alietoka damu 12 yrs alikiri wapi hayo ili apate uponyaji?Kumbuka muombewa ili apate matokeo, lazima amkili yesu, kuwa ndiyo muokozi wake, maana hakuna haja ya Imani nyingine.
Tupe aya au hadithi..Sasa Dini ya hakhi haijaruhusu hivyo. Inahitaji kila mke akae kwake Mwanaume umfuate
Tangu ujuzwe maana ya IQ humu kwenye mitandao hatuna raha.Hakuna watu wanafiki na wenye IQ ndogo kama viongozi wa wavaa kobazi..
mm sion tofauti yenu zaidi ya migongano ya kimaslaiSisi sio maadui zenu
Ni vile tuko tofauti ideological
Ila Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Bakwata Alhad yasemekana ndiyo bingwa kwa kuwadhalilisha wanawake kinyume na maumbileNimewasikiliza wote Sheikh na huyo Bwana Mwaka na sioni mantiki ya Bwana Mwaka kumjibu vile Sheikh Alhadi. Ni kuendeleza malumbano yasiyo na faida.
Kama unamjua kuwa Sheikh fulani siyo mwema si umuache tu uende kwa mwingine?
Aliye na ushahidi basi na auweke hadharani. Hata hivyo mada aliyozungumzia huyu Sheikh haihusiani na kudhalilisha wanawake, imehusu akina mama wanaokwenda kwenye maombi.Ila Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Bakwata Alhad yasemekana ndiyo bingwa kwa kuwadhalilisha wanawake kinyume na maumbile
Sijawahi kuona reference hii kwenye sahih muslimSahih Muslim 2167