Askari kioja
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 356
- 962
Hatuingilian mm ndo nakuingilia ww nan alikuambia ureply comment yangu nakuona chura kama snuraUnajua nini wewe ni choko katafute bwana sehemu kwingine achana na mimi tusiingiliane sana kwanza haujui unachokiandika
Huna Akili..Hatuingilian mm ndo nakuingilia ww nan alikuambia ureply comment yangu nakuona chura kama snura
Akil ni nn?labda tuanzie hapoHuna Akili..
Pole sana kwa wanaokutegemea
Hahaha ukisikia teknolojia sio kitu kizuri ndio kama hivi.Wakuu naomba msaada wa ile picha ya Paul makonda akoombewa na mashekhe wengi na maalim alhad alikuwepo katka yale maombi
Msaada tuwek
View attachment 2356670
Hunifahamu usiniongelee sana tuwe na mipaka na kiasi..Akil ni nn?labda tuanzie hapo
Waache wajibizane kwenye mitandao tujue Siri zao. Kumbuka MTU mwenye hasira huongea ukweli wote.
Kama sio haya majibizano Tungejuaje? I ask you?
Wewe unazungumzia jinsi ya kuwato*** ila Sheikh kazungumzia kushiriki nao wote kwa pamoja sehemu moja.Kwa hio kuwatomba wake zake wawili kwa pamoja sio kitu kizuri au mimi sijaelewa vizuri?
Yaan mimi nioe wake zangu wawili alafu mtu aje kunipangia jinsi ya kuwatomba?
Kweli?
Sasa Dr. Mwaka asingeweka wazi hiyo faragha yake yeye mwenyewe pengine watu wasingekuwa wanajadili maana wasingejua ila aliamua mwenyewe kusema hilo jambo, na kila mtu alitoa maoni yake ila labda yeye hakupenda maoni ya Alhaj.Hii vita kubwa lkn yule sheikh kwa nn aingilie faragha za watu ona sasa anadhalilika
Hiyo post namba 17 inasema nini? Si maoni ya Sheikh Alhaj kuhusu waislamu kwenda kuombewa kwa Mwamposa yametajwa.Soma quote namba 17, Mwamposa anahusikaje hapa?
Ndio hivyo hivyo hakuna utofauti hapo usijitoe akiliWewe unazungumzia jinsi ya kuwato*** ila Sheikh kazungumzia kushiriki nao wote kwa pamoja sehemu moja.
Alichofanya Dr. Mwaka sio kutoa maoni bali kamshambulia sheikh Alhaji kwa kumtuhumu kuwa ni mfiraji.Unasema alichoongea sheikh ni mtazamo wake. Je, alichoongea Dr. Mwaka ni mtazamo wa nani?
Unafki kvp? Dr. Mwaka alichofanya ni kumshambulia Alhaji tu kwa kumwambia ni mfiraji ndio maana watu wakawa wanauliza kwani Dr. Mwaka kakosewa nini na huyo Sheikh, kama kuna kitu Sheihk kakiongea na kaona sio sahihi yeye angeeleza usahihi wake ila yeye kaibuka na mashambulizi binafsi kwa Alhaji.Kwa hio unamaanisha Daktari Mwaka angepiga kimya tu awe mnafki mnafki au unamaanisha nini?
Ahahaha,heti tusahau makali ya Tozo,hapo mmoja ni zao la eagle house, huenda usemacho kina ukweliDokta mwaka ndo yule mtoto wa mjini anayeshindaga ubungo plaza....sema jamaa amepoteza umaarufu muachen atafute kiki anatumiwa ili tupoteze mda tusahau makali ya tozo
Tofauti ni kwamba kufanya nao mapenzi wote pamoja ni jambo moja na jinsi ya kuwaingilia ni jambo lengine, ukitaka kumtia mkeo sebeluni au kifo cha mende hiyo ni uwamuzi wako na hiyo ndio maana ya jinsi kuwatom** ila kuwachukua wote wawili na kushiriki nao kuwatia kwa pamoja hili ni jambo lengine.Ndio hivyo hivyo hakuna utofauti hapo usijitoe akili
Nionyeshe ni wapi pameandikwa marufuku mwanaume wa kiislam kulala na wake zake wawili kwa pamoja weka bandiko? Hayo maswala mengine hayanihusuUnafki kvp?
Hata huko kuoa kwenyewe kapangiwa ana wake wawili kwa sababu dini imemruhusu angekuwa mkiristo asingeweza kuoa mke zaidi ya mmoja, na pamoja kuwa hao ni wake ila anakatazwa kuwaingilia kinyume na maumbile.Makosa yako wapi wewe ndie umemuolea yeye hao wake zake si kawaoa mwenyewe yaan hadi jinsi ya kuishi na wake zake pia umpangie?
Sawa kapangiwa sikatai ila faragha yake pia unampangia ili iweje ile ni faragha shekhe unampangiaje faragha yake yeye na wake zake? Hayo masuala mengine sitaki kuyazungumzia mkuu tuende kwenye mada kuu usinitoe kwenye reliHata huko kuoa kwenyewe kapangiwa ana wake wawili kwa sababu dini imemruhusu angekuwa mkiristo asingeweza kuoa mke zaidi ya mmoja, na pamoja kuwa hao ni wake ila anakatazwa kuwaingilia kinyume na maumbile.