Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

Hata kama shehk ana makandokando yake lakini katika hili yuko sawa,uislam haukatazi mwislamu asisaidiwe na mkristo au wasi juhusishe katika mambo fulani NO isipokua kuna mipaka


Kwa hilo shehk yuko right
 
Waache wajibizane kwenye mitandao tujue Siri zao. Kumbuka MTU mwenye hasira huongea ukweli wote.
Kama sio haya majibizano Tungejuaje? I ask you?
Sawa mkuu,nimekuelewa, ila mwisho wa majibizano lazima watumbuize na kapambano kidogo, wachapane mangumi.
 
Hawa watajuana wenyewe
Isije ikawa wamechapiana tu

Ova
 
Kwa hio kuwatomba wake zake wawili kwa pamoja sio kitu kizuri au mimi sijaelewa vizuri?

Yaan mimi nioe wake zangu wawili alafu mtu aje kunipangia jinsi ya kuwatomba?
Kweli?
Wewe unazungumzia jinsi ya kuwato*** ila Sheikh kazungumzia kushiriki nao wote kwa pamoja sehemu moja.
 
Hii vita kubwa lkn yule sheikh kwa nn aingilie faragha za watu ona sasa anadhalilika
Sasa Dr. Mwaka asingeweka wazi hiyo faragha yake yeye mwenyewe pengine watu wasingekuwa wanajadili maana wasingejua ila aliamua mwenyewe kusema hilo jambo, na kila mtu alitoa maoni yake ila labda yeye hakupenda maoni ya Alhaj.
 
Kwa hio unamaanisha Daktari Mwaka angepiga kimya tu awe mnafki mnafki au unamaanisha nini?
Unafki kvp? Dr. Mwaka alichofanya ni kumshambulia Alhaji tu kwa kumwambia ni mfiraji ndio maana watu wakawa wanauliza kwani Dr. Mwaka kakosewa nini na huyo Sheikh, kama kuna kitu Sheihk kakiongea na kaona sio sahihi yeye angeeleza usahihi wake ila yeye kaibuka na mashambulizi binafsi kwa Alhaji.
 
Dokta mwaka ndo yule mtoto wa mjini anayeshindaga ubungo plaza....sema jamaa amepoteza umaarufu muachen atafute kiki anatumiwa ili tupoteze mda tusahau makali ya tozo
Ahahaha,heti tusahau makali ya Tozo,hapo mmoja ni zao la eagle house, huenda usemacho kina ukweli
 
Ndio hivyo hivyo hakuna utofauti hapo usijitoe akili
Tofauti ni kwamba kufanya nao mapenzi wote pamoja ni jambo moja na jinsi ya kuwaingilia ni jambo lengine, ukitaka kumtia mkeo sebeluni au kifo cha mende hiyo ni uwamuzi wako na hiyo ndio maana ya jinsi kuwatom** ila kuwachukua wote wawili na kushiriki nao kuwatia kwa pamoja hili ni jambo lengine.
 
Makosa yako wapi wewe ndie umemuolea yeye hao wake zake si kawaoa mwenyewe yaan hadi jinsi ya kuishi na wake zake pia umpangie?
Hata huko kuoa kwenyewe kapangiwa ana wake wawili kwa sababu dini imemruhusu angekuwa mkiristo asingeweza kuoa mke zaidi ya mmoja, na pamoja kuwa hao ni wake ila anakatazwa kuwaingilia kinyume na maumbile.
 
Hata huko kuoa kwenyewe kapangiwa ana wake wawili kwa sababu dini imemruhusu angekuwa mkiristo asingeweza kuoa mke zaidi ya mmoja, na pamoja kuwa hao ni wake ila anakatazwa kuwaingilia kinyume na maumbile.
Sawa kapangiwa sikatai ila faragha yake pia unampangia ili iweje ile ni faragha shekhe unampangiaje faragha yake yeye na wake zake? Hayo masuala mengine sitaki kuyazungumzia mkuu tuende kwenye mada kuu usinitoe kwenye reli

Hivi unaelewa maana ya faragha?
 
Back
Top Bottom