Dr. Mwaka ana akili kubwa sana na ana mjua Mungu

Dr. Mwaka ana akili kubwa sana na ana mjua Mungu

Brain Kingdom

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
7,002
Reaction score
14,570
Hello JF

Kila mwanaume halisi ambaye ni kizazi halisi cha Adam na Hawa, walioishi bustani ya Eden na kupewa kila kitu na yenye kila kitu ndio wataelewa.

Asante Dr Mwaka kuwa mcha Mungu, unajua maandiko, hekima na busara zako ni kubwa sana.

Ishi na mwanamke at your own risk, a woman is an infinity being.

Tuizikatae Ndoa kila ilyo sasa, leo, kesho na hata milele hapa duniani.

Wadiz
 
Dr Mwaka ni mpumbavu Sana na dawa zake fake

Cha muhimu kataa ndoa
Ndoa ni wizi
Ndoa Ni utapeli.
 
Dr Mwaka ni mpumbavu Sana na dawa zake fake

Cha muhimu kataa ndoa
Ndoa ni wizi
Ndoa Ni utapeli.
Ndoa ni nzuri sana. Shida yenu:
1. Mnakurupuka kuoa
2. Hamna uvumilivu, hakuna aliye mkamilifu ktk ndoa
 
Unawezaje kumtambua Mchaji Mungu ?
Oya, nshatoka magetoni mie , maskani hakukaliki, kijiweni ndo basi tena yaan taflani...Moja haikai mbili haikai....kitaa napo kumenuka...

Oya, maswali gani haya unaleta humu jf?

We ushawahi kusikia wapi mchaMBUZI akamjua mchaMUNGU?

Hivi una akili wewe kweli? Umepimwa akili? Au umerogwa?
 
Back
Top Bottom