Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Dr Mwaka ni mpumbavu Sana na dawa zake fakeHello JF
Kila mwanaume halisi ambaye ni kizazi halisi cha Adam na Hawa, walioishi bustani ya Eden na kupewa kila kitu na yenye kila kitu ndio wataelewa.
Asante Dr Mwaka kuwa mcha Mungu, unajua maandiko, hekima na busara zako ni kubwa sana.
Ishi na mwanamke at your own risk, a woman is an infinity being.
Tuizikatae Ndoa kila ilyo sasa, leo, kesho na hata milele hapa duniani.
Wadiz
Kumbe hujapona! Pole, kazana na wala, Mungu yu MwemaDr Mwaka ni mpumbavu Sana na dawa zake fake
Cha muhimu kataa ndoa
Ndoa ni wizi
Ndoa Ni utapeli.
Bangi sio nzuri kwa kweli inaangamiza vijana wengiDr Mwaka ni mpumbavu Sana na dawa zake fake
Cha muhimu kataa ndoa
Ndoa ni wizi
Ndoa Ni utapeli.
Ndoa ni nzuri sana. Shida yenu:Dr Mwaka ni mpumbavu Sana na dawa zake fake
Cha muhimu kataa ndoa
Ndoa ni wizi
Ndoa Ni utapeli.
[emoji106]Ndoa ni nzuri sana. Shida yenu:
1. Mnakurupuka kuoa
2. Hamna uvumilivu, hakuna aliye mkamilifu ktk ndoa
Oya, nshatoka magetoni mie , maskani hakukaliki, kijiweni ndo basi tena yaan taflani...Moja haikai mbili haikai....kitaa napo kumenuka...Unawezaje kumtambua Mchaji Mungu ?