Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

Jile79,
Mkuu maneno yako msumari na hili ni fumbo kwa wale wasiojua uchafu wa siasa..
Huu mpango wote sii kwa ajili ya kutafuta ukweli isipokuwa mwanzo wa kuivunja nguvu report ya Mwakyembe..Kazi yote hii ni kuonyesha kwamba Mwakyembe na kamati yake sii watu wa kuaminika, wakiomba takrima ktk ofisi za seriikali jambo ambalo linaweza thibitishwa na hundi walopokea kama posho.. It might have been offered na ofisi husika lakini kwa vile hawa kina Mwakyembe hawakufahamu dhumuni la posho hizo walichukua...

Now, kama Mwakyembe na wenzake walichukua, na kisheria kuchukua kwao ni kinyume cha taratibu za bunge na kamati zake hapo mkuu wangu kachemsha..lakini navyofahamu mimi kamati zote nchini huchukua posho nje ya malipo ya awali isipokuwa hawa jamaa wanadai kwamba kamati hizi (ikiwa ni pamoja na ya Mwakyembe) HUOMBA TAKRIMA ktk vikao vyao..Hapa Mwakyembe akae wima laa sivyo ndio wamemmaliza na kuikata makali report ya kamati yake, Ushindi kwa Richmond na Mafisadi..
 
kweli watz hatuko serious mambo kibao ya kipuuzi yanatokea tunayachunia tu........watu wanatuingiza gizani kwa makusudi tumekaa kimya.....pccb tumewapa kazi ya kuchunguza mkataba wa richmond wamekuja na ripoti ya kuficha ukweli tumeundiwa kamati teule na waheshimiwa tuliowachagua wamekuja na ripoti tofauti kabisa...bado tumekaa kimya wanaendelea na ajira zao......ningekuwa na uwezo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ningeandamana hata peke yangu kupinga hawa wapuuzi kuendelea kufanya kazi ambayo hawaiwezi,,,,,,,,tunachukuwa hatua gani kwa uozo wote huu jamani kweli tutaendele kulalamika mpaka lini?
 
natetemeka na kuhuzunika iwapo haya yanaweza kutokea........

Hilo jambo simple tu ni CRCT (Commitee for Richmond Camouflage Tactics) hilo ni jambo la kukomalia jamani, wawaulize na wabunge wa kamati zingine wao huwa hawapati double posho? PCCB huwa hawawapagi wabunge posho wanapotembelea ofice zao? Toa Boriti jichoni mwako ndo uone kibanzi jicho la mwenzio.PCCB + all who are using them are stinking and making this country stink too!
 
Hili la posho sioni kama ni suala la PCCB. Ni suala la kiutawala zaidi katika sehemu zinazohusika. Suala hili linakuzwa na magazeti ya Rostam na swahiba wake Lowassa kwa sababu ya chuki zao binafsi dhidi ya watu kama akina Mwakyembe. Wanafanya vituko vingi sana mafisadi hawa ili kulipiza kisasi baada ya kuumbuliwa kwenye Richmond. These two guys are very vindictive! Mie binafsi nimepoteza imani kabisa na vyombo kama PCCB. Kuna kesi kubwa nyingi za rushwa walijifanya wanachunguza lakini matokeo yake hatuyaoni. Kuna rushwa za waziwazi kwenye mikataba kibao ya nishati, wizi wa kutisha wa Kagoda, Commodity Import Support. Deep Green, nk. Lakini hakuna kinachoendelea. Sasa suala la watu kupewa posho (tena bila kuomba) linakuaje suala kubwa kiasi hicho! Tuwe serious jamani....
 
MzeePunch,
lakini mkuu kuna barua imetoka kwa katibu wa Bunge kuwaomba Takukuru wafanye uchunguzi wa kamati hizi kuomba TAKRIMA..haya ndio madai yaliyopo tusichanganye kuchukua posho na madai haswa yaliyotoka kwa katibu wa bunge..Huyu katibu kapewa na nani madaraka ya kuandika baruia hiyo? Je, ni utaratibu gani unatakiwa kufanyika ikiwa bunge au serikali inataka kuhoji poshoi za Wabunge..
 
kweli watz hatuko serious mambo kibao ya kipuuzi yanatokea tunayachunia tu........watu wanatuingiza gizani kwa makusudi tumekaa kimya.....pccb tumewapa kazi ya kuchunguza mkataba wa richmond wamekuja na ripoti ya kuficha ukweli tumeundiwa kamati teule na waheshimiwa tuliowachagua wamekuja na ripoti tofauti kabisa...bado tumekaa kimya wanaendelea na ajira zao......ningekuwa na uwezo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ningeandamana hata peke yangu kupinga hawa wapuuzi kuendelea kufanya kazi ambayo hawaiwezi,,,,,,,,tunachukuwa hatua gani kwa uozo wote huu jamani kweli tutaendele kulalamika mpaka lini?

Tena hili la kuingizwa gizani kwa makusudi ndilo linalonikera zaidi. Hivi tutaendelea kuwa mabwege mpaka lini Watanzania wenzangu? Watu wawili kwa uroho wao wa fedha na madaraka wanatufanya wote majuha. Halafu eti kuna watu wanaothubutu kuwatetea wauaji hawa. It really gets on my nerves.... Natamani kuwarukia....Amkeni Watanzania, hawa mafisadi wanatumaliza. Inaumiza zaidi kuona kwamba baadhi yao hata sio raia wenzetu.
 
good hii ilikuwqa nzuri sana..................ni mfano wa kuigwa,,,,,kwa hiyo chadema angalau wanaweza kutusaidia
Nakumbuka hili lilitokea Karatu (ambako Halmashauri inaongozwa na Chadema) madiwani walikataa kulipia malazi ya ujumbe wa Makamu wa Rais kwa vile tayari walisha lipwa posho na ofisi zao walikotoka.
 
haya mambo yote tunayojadili bila kukoma yangekuwa yanaisha iwapo hatua zingekuwa zinachukuliwa........shida kubwa iko kwenye uongozi wetu ambao ni wa kisanii.
nchi za magharibi ndio maana waliamua kutuletea mfumo wa vyama vingi ili kuchochea mabadiliko katika nchi
nchi za wenzetu kila kipindi wanafanya mabadiliko ili kuangalia chama kingine kitatusaidiaje na tunaona sera zinabadilishwa kila chama kingine kinapoingia madarakani na kikifanya makosa tu hakipati kura kipindi kingine...lakini kwetu ccm ndio baba na mama yetu....
 
Hili la posho sioni kama ni suala la PCCB. Ni suala la kiutawala zaidi katika sehemu zinazohusika. Suala hili linakuzwa na magazeti ya Rostam na swahiba wake Lowassa kwa sababu ya chuki zao binafsi dhidi ya watu kama akina Mwakyembe. Wanafanya vituko vingi sana mafisadi hawa ili kulipiza kisasi baada ya kuumbuliwa kwenye Richmond. These two guys are very vindictive! Mie binafsi nimepoteza imani kabisa na vyombo kama PCCB. Kuna kesi kubwa nyingi za rushwa walijifanya wanachunguza lakini matokeo yake hatuyaoni. Kuna rushwa za waziwazi kwenye mikataba kibao ya nishati, wizi wa kutisha wa Kagoda, Commodity Import Support. Deep Green, nk. Lakini hakuna kinachoendelea. Sasa suala la watu kupewa posho (tena bila kuomba) linakuaje suala kubwa kiasi hicho! Tuwe serious jamani....

MzeePunch!
I tend to agree with you kama ni swala la kuomba au kupokea rushwa huwa kuna pande mbili waliotoa na waliopokea sasa hawa vijana wa PCCB walioko kwenye payrall ya Rostam na Maswahiba wake JMK na Teddy Lowasa mbona wanakomalia akina Mwakyembe what about hao waliotoa ambao ni waajiriwa wa Mashirika ya Umma. Nijuavyo mimi hizo pesa hutolewa na wanaopokea hawaweki sahihi anywhere so it just another vicious circle ya kuku na yai.

The bottom line ni kwamba huu ni mchezo wa kuigiza ambapo wanataka ku water down makali ya hoja ya msingi na katibu wa Bunge ambaye pia ni Mtumwa(SLAVE) kama alivyodai Rostam kwamba anajivunia Biashara waliyofanya mababu zake karne ya kumi na tisa during slave trade huko Tabora and the president hajaamuru awekwe Kizuizini au Apewe hadhi ya PI this makes the presidency with CCM a laughing stock! Inachefua why don't we close this motion wajameni!!!
 
Jamani ni malipo gani ya mara mbili unayoyaongelea ndugu yangu mbona huelewi mambo. kama unalipa Bunge inatoa posho maana imekasimu ktk bajeti yake na wizara au taasisi ikitoa posho maana yake imekasimu ktk bajeti yake sasa hapao kuna double payment?? unataka hiyo posho iliyokasimiwa kwa ajili ya Vikao vya Wabunge hata kama iko nje ya Bunge apewe nani upewe wee then baadaye utakuja kuiaccount vipi?? mwisho wa siku hiyo posho iliyokasimiwa na wizara au taasisi husika itatakiwa kuonekana kweli imelipa wabunge na Si vinginevyo. eti PCCB wana hoji malipo ya posho 2 wapi ?????
 
Mkereme,
kama alivyodai Rostam kwamba anajivunia Biashara waliyofanya mababu zake karne ya kumi na tisa during slave trade huko Tabora
samahani mkuu unao uthibitisho wa manenno haya?... hivi kweli Rostam alisema hivyo.
 
Kwa maoni yangu, Mwakiembe hakamatiki kwa ajili ya matamshi yake ya Dodoma, unless PCCB walimtaarifu spika kwa maandishi kuwa wanamuhitaji Mwakiembe kwa mahojiano, huku Mwakiembe mwenyewe amepelekewa samansi ya PCCB kuitwa kwa mahojiano,akakaidi, ni kweli anakamatika.
PASCO,
Dr. Harrison Mwakyembe atakamwatwa kwa kukaidi summons ya PCCB na sio kwa matamshi yake. Yale matamshi ilikuwa kujitetea tu zaidi aliwapiga chenga ya mwili PCCB walipomtokea.
Hawa Waheshimiwa wanajifanya wapiga kelele ufisadi kumbe wao hwajapata mahali pa kufisadi. Pesa za watu masiki anasema ni vitu vidogo.
Aliye na kinga ya kutohojiwa na PCCB ni Rais peke yake lkn sio mtu awaye yeyote yule. Hizi sheria wao ndio walizipitsha na nashangaa sasa hivi wanaruka kimanga, walikuwa hawajui kusoma?
Kanikumbusha Bwana Vijisenti Cehnge.
 
Jamani ni malipo gani ya mara mbili unayoyaongelea ndugu yangu mbona huelewi mambo. kama unalipa Bunge inatoa posho maana imekasimu ktk bajeti yake na wizara au taasisi ikitoa posho maana yake imekasimu ktk bajeti yake sasa hapao kuna double payment?? unataka hiyo posho iliyokasimiwa kwa ajili ya Vikao vya Wabunge hata kama iko nje ya Bunge apewe nani upewe wee then baadaye utakuja kuiaccount vipi?? mwisho wa siku hiyo posho iliyokasimiwa na wizara au taasisi husika itatakiwa kuonekana kweli imelipa wabunge na Si vinginevyo. eti PCCB wana hoji malipo ya posho 2 wapi ?????

Sio lazima fedha za vikao ziishe ili ripoti ionyeshe tu kwamba zimetumika kwenye vikao ambavyo vinapendwa mno na watumishi wa TZ! Na kama fedha zimebaki zinaweza kubadilishwa matumizi na kufanyiwa kazi nyingine za maendeleo! Tuache notion kwamba fedha (pia mali) za umma haziumi!
 
Mbona wewe wamkatisha tamaa HOSEA? Hakuna aliyesema Mwakyembe akate tamaa. Yeye aendelee kuwashughulikia akina HOSEA na Richmond ila akumbuke milele maneno ya KIKWETE kuwa " UKITAKA KULA BASI KUBALI NA WEWE ULIWE KIDOGO".
Sasa yeye wakimgusa kidogo anaruka utafikiri bikira, ehhh Kaza moyo Mwakyembe, ndiyo SIASA hiyo na hapa si sheria tena.
mzee umeishiwa sera sasa umeanza kushabikia hata upuuzi. Kweli wajinga ndio waliwao kwa kupenda kula
 
Nipo Kyela unanihamisha?
huyo ingia ndivyo alivyo na kijana mdogo sikonge ni watu wa hisia na wakati mwingine huwa wanabishana na ukweli. sasa sijui kama tatizo ni ugumu wa kuelewa au ndio huwa hawaelewi kabisa. Hapo hakuna rushwa bali ni ubabaishaji tu. na kisheria mwakyembe anaweza kukataa kuhojiwa na badala yake anaweza kwenda kusemea mahakani. hapa hapana tatizo kabisa, Mwakyembe ni muelewa kuliko hawa wakina inginia na sikonge wanavyodhani. Huwa tabia ya hawa watu ni much know sana kiasi cha kupinga hata pasipo kuelewa. kila siku nawaambia mwakyembe hakamatiki na ni kiongozi anayefaa kwani anaonyesha njia na si mtu wa kubuluzwa na upepo. Sasa wewe etim uhojiwe na takukuru kwani kuna rushwa hapo? na kisheria mtoa rushwa naye anamakosa ikiwa ametoa rushwa bila kuwatonya watu wa takukuru. sasa kwenye rushwa lazima awepo mtoa rushwa naye ashitakiwe kwa kutoa rushwa. Na je kuna hela ya moto aliyokamatwa nayo mwakyembe? sasa ahojiwe nini? kama ajakamatwa na rushwa!. Hapa ni kutaka kupima sumu kwa kulamba. Masanilo stay put
 
Wakuu zangu, naomba somo hapa.. Kuna sheria inayomlazimisha mtu yeyote kutohojiwa na chombo cha serikali.
Navyojua mimi kama mimi sii mshtakiwa sijasomewa rights zxangu za kuwa arrested nina haki ya kufanya lolote lile. Nina haki ya kukubali kuhojiwa ama kukataa kutoa maelezo yoyote yale tena basi ikiwa uchunguzi wenyewe haukumhusisha wakili wangu...Tukumbuke kwamba Rostam alikataa kuhojiwa na kina Mwakyembe na haikuwa deal kwa sababu sii mshitakiwa. Na bunge halikufanya kitu chochote.
Simamisheni mashtaka dhidi ya Mwkyembe na atajieleza kulingana na sheria lakini sii kumtaka kumhoji mtu pasipo ushahidi unaomhusisha ili ajifunge mwenyewe.
Barua ile ilitakiwa kuwa wazi, kwamba Mwakyembe na kamati yake ndio wahusika wa posho za Takrima, mashtaka yanafunguliwa na wao wataitwa kuhojiwa kwa kosa la kuomba Takrima..
 
mzee umeishiwa sera sasa umeanza kushabikia hata upuuzi. Kweli wajinga ndio waliwao kwa kupenda kula
wewe ndiye umeishiwa na hiyo mango tree yako.
tangu mwanzo tulisema mwakyembe haishi kutapatapa.amegombana na madiwani karibia wote kyela,kagombana na uongozi wa ccm wilaya,kagombana na mkuu wa mkoa,kagona na polisi kwa kumtetea dereva wake na sasa yuko pccb.huyo kweli ni kiongozi gani,mpenda ugomvi na mwenye majivuno kiasi hiki.yeye kitu anachoamini ndicho hicho.

Ukiangalia jimbon,hakuna kitu zaidi ya kukimbilia kwenye media na kusema anaonewa.safari atakwenda tu na sijui utafanya nini na mangotree yako
 
Mimi nilisema siku nyingi Mwakyembe naye Mzugaji tu. Ingawa mimi si mshabiki wa Lowassa, alipomshadadia Lowassa bila kumpa fursa ya kujieleza katika kamati yake nikamuona mtu mmoja asiye fair na mwenye ploitical machinations.

Hizo habari za "kulinda heshima ya serikali" alimaanisha kumlinda rais Kikwete ambaye naye anahusika kwenye Richmond, ndiyo maana Kikwete naye hawezi kumuwajibisha mtu.

To make matters worse huyo Hosea naye ananuka tu, tabu tupu, hatuna hata pa kujibanza.

Tutasikia nyimbo nyingi tu, lakini hakuna matendo.
 
Susuviri,

Jina kuonyesha yupo kwenye active user haina maana kwamba yupo actively aki surf net au akisoma thread husika. Kwa mtu mkongwe JF kama wewe unatakiwa ulijue hili.

Kama hujui nafikiri unahitaji tuition toka kwa Invisible.

Kama huja log out jina lako linaendelea kuonekana. Pia kuna watu wengine hasa nje ya TZ ambao PC zao muda wote zinakuwa on na wao kama haja log out jina lake linaendelea kuonyesha hata kama yeye kasafiri.

Asante kwa elimu,mkuu, ila naomba kuuliza kama nikipeleka hii kama evidence kwa ofisi ya bunge kuwa mbunge Zitto Kabwe alikuwa yuko online wakati wa kikao cha bunge, sheria itaonyesha kuwa niko sahihi hayo yote uliyosema ni theoretical, ila computer imeonyesha he was logged on and that is what counts... so what my point is ni kuwa tukianza kujaribu kufuatilia every little issue kwa mbunge kuna mambo mengi tunaweza kupata as misdemeanour etc, akiwemo mheshimiwa huyu mnayemtetea sana.
 
Back
Top Bottom