Hayo ma dessertation watu wengi wanayo swala la uwepo kwenye google au laa....is all about technology.....
but msifate mkumbo kwa mambo ya kijinga...
yule dada aliharibu sana....
muda ni mwalimu mzuri sana....
huo ugonjwa wa zika hatujauona...
Kuna sehemu hapo kwenye paragraph ya pili umejichanganya Mkuu!Ila kiukweli CCM safari hii umetuweza hahaha...
Kumfukuza kazi mwele saa saba na nusu Dr Mwele...so what......Duh
Kila siku beberu beberu so what...unafikiri kila mtu anaweza kuwa beberu hahaha...
Kitambaa cha nguo hata kuvaa kwenyewe kumeletwa na wazungu....leo beberu beberu.....hamna jambo lingine....kila siku wimbo huo huo....
Pamoja na madhaifu yake mara mia tano Jakaya angeendelea tu....This president is making life so boring...na bora angekuwa anasoma tu alichoandaliwa...naamini washauri wake wanatamani kumwambia hili sema tatizo ni hulka yake na woga wa kufukuzwa kazi saa saba na nusu usiku...
...tofauti yako na hao wanao mtazama ni wewe kuwa haupo hapo !Ni bahati mbaya sana tuna kiongozi ambaye akiwa jukwaani anahisi wanaomtazama na kumsikiliza ni wale tu walioko pale uwanjani
...hawa watu nongwa inawasumbua !Yes, she is well educated lakini kama mkurugenzi wa taasisi kubwa ya tafiti za magonjwa aliteleza kutoa taarifa ya ugonjwa mkubwa kama Zika bila wakubwa wake kuwa na taarifa...(siamini kabisa kama anatumiwa na mabeberu)
Inaonekana watu hawaijui sana Zika, hivi mfano ingekuwa ni ugonjwa kama Ebola hivi, kabla ya mtu wa taasisi ya NIMR kuutangaza unadhani Ikulu isingejulishwa kabla?
Hizi Pandemics huwa zina kautaratibu wake wa namna ya kujulisha umma...
Aiseee!Matatizo ya kuwa na rais mshamba.
Anaropoka kila siku.
Na washamba wenzake wanamshangilia.
Kwa mara ya kwanza tunapata rais msema kweli. Haya magonjwa tunaletewa sana na hawa wazungu.
Hiyo Ebola, Zika sijui ukimwi ni upuuzi mtupu
Hao jamaa.wanaumba 'roho' !?Hivi WHO wakiacha kutu support tutamudu?
Huku malofa wakiponda kila kitu !Matatizo ya kuwa na rais mshamba.
Anaropoka kila siku.
Na washamba wenzake wanamshangilia.
Hauko mbali na ukweli !Kwa mtindo huu, je nitakuwa nakosea nikitabili kuwa siku moja huko mbele tutakuja kuambiwa Benno Ndullu nae alifukuzwa kazi kama gavana wa BOT kwa kufanya kazi kwa maelekezo ya mabeberu? Na sasa hao hao wamemtafutia kazi huko aliko!!!
Waliopitisha hiyo hypothesis hawakuisomaHuyo mwingine hata kuandika Hypothesis hawezi.
Kama ugonjwa ulikuwepo au upo, tutajuwaje kama wenye kutoa taarifa ya kuwepo au kutokuwepo wamekaa kimya baada ya uchunguzi ( wamezuiwa kusema kilichopo)?
Hata kuhusu EBOLA bado ni MTIHANI
SHERIA YA TAKWIMU ILITUNGWA KWA MAANA YA MAMBO KAMA HAYA,
ILI IWE SIRI.
Mkuu jana nlikupa swali hukujibu.
Unaamini ni kweli angeweza kutoa taarifa kama hiyo bila wakubwa kujua?
Lile swala la kikokotoo unaamini rais alikua hajui mpaka akaishia kumtumbua yule mama?
Mkuu tumia akili vizuri na usipende kuamini kila kitu kinachosemwa na mwanasiasa.
Kwani wewe upo wapi ? Pita hapo Relwe Gerezani uone kazi ya Merkez !Eti nini?
Ooowi!
Haikuwepo na Dada Mwele Malechela alisa zipo dalali
Si kama dengue tu zimekuja zimeondoka...Hapa naona watu wameishia kunanga PhD tu..Lakini tumeshindwa kujibu kile alichohoji Mh Rais?je Zika iliishia wapi?Au Dr.Mwella aliondoka nayo kuirudisha UN-WHO?Mimi nataka kujua kama ilikuwepo ilimalizikaje?
Acha utoto !Kwani mkuu unafahamu Zika ni nini?
Nasubiri jibu.
Aliambiwa na nani atutangazie hivyo virusi nchi nzima ! Pumbavuu !Crap to thyself……!
Usiwe bwege na juha la kutupwa! Zika ni VIRUSI huwezi kuviona kwa macho kama vile una angalia runinga sebuleni……!
Daktari Mwele ni mubobezi ktk mambo ya Utafiti na anapowasilisha Research report ya ugonjwa wowote pamoja na watafiti wenzake aghalabu wanakuwa wamefikia htmisho……!
Tatizo ni pale MWANASIASA UCHWARA anapoingilia mambo na maswala ya KITAFITI……!!
Umeanza vizuri mama. Malizia basi ya nani haipo ila kama unaogopa yasikukute yaliyomkuta Ben, basi nimekuelewa!Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Na bahati mbaya sana bado anawaonea wivu wakipata kazi nzuri zaidi ya hizi za kwake. Anatamani angepewa aongoze dunia ili akamfukuze na huko aliko. Hatari sana.Na ile nyingineje? Sihitaji jibu kwa sababu umekwishatoa jibu katika mstari huo mmoja.
Huyu anatafuta sifa kwa kuwafukuza kazi wengine hata kama hawana makosa?