Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Unasema jambo, linazusha mtafaruku na watalii wanafuta booking zao za Mahoteli. Imagine Hoteli ipo full house mwezi mzima, kisha watu wanafuta, suppliers wote mafutiwa orders zenu, njaa tayarii !
Hayo ma dessertation watu wengi wanayo swala la uwepo kwenye google au laa....is all about technology.....
but msifate mkumbo kwa mambo ya kijinga...
yule dada aliharibu sana....
muda ni mwalimu mzuri sana....
huo ugonjwa wa zika hatujauona...
 
Ila kiukweli CCM safari hii umetuweza hahaha...
Kumfukuza kazi mwele saa saba na nusu Dr Mwele...so what......Duh

Kila siku beberu beberu so what...unafikiri kila mtu anaweza kuwa beberu hahaha...
Kitambaa cha nguo hata kuvaa kwenyewe kumeletwa na wazungu....leo beberu beberu.....hamna jambo lingine....kila siku wimbo huo huo....

Pamoja na madhaifu yake mara mia tano Jakaya angeendelea tu....This president is making life so boring...na bora angekuwa anasoma tu alichoandaliwa...naamini washauri wake wanatamani kumwambia hili sema tatizo ni hulka yake na woga wa kufukuzwa kazi saa saba na nusu usiku...
Kuna sehemu hapo kwenye paragraph ya pili umejichanganya Mkuu!
 
Ni bahati mbaya sana tuna kiongozi ambaye akiwa jukwaani anahisi wanaomtazama na kumsikiliza ni wale tu walioko pale uwanjani
...tofauti yako na hao wanao mtazama ni wewe kuwa haupo hapo !
 
Yes, she is well educated lakini kama mkurugenzi wa taasisi kubwa ya tafiti za magonjwa aliteleza kutoa taarifa ya ugonjwa mkubwa kama Zika bila wakubwa wake kuwa na taarifa...(siamini kabisa kama anatumiwa na mabeberu)

Inaonekana watu hawaijui sana Zika, hivi mfano ingekuwa ni ugonjwa kama Ebola hivi, kabla ya mtu wa taasisi ya NIMR kuutangaza unadhani Ikulu isingejulishwa kabla?

Hizi Pandemics huwa zina kautaratibu wake wa namna ya kujulisha umma...
...hawa watu nongwa inawasumbua !
 
Mpaka Iran, Uturuki na yule wa Korea, waiwahi kusema kuna magonjwa ya kupandikiza. UN -WHO waliwahi kupeleka kipindu pindu Haiti. Na waliua watu kweli kweli. Baadae walikuja kuomba radhi.
Kwa mara ya kwanza tunapata rais msema kweli. Haya magonjwa tunaletewa sana na hawa wazungu.

Hiyo Ebola, Zika sijui ukimwi ni upuuzi mtupu
 
Kwa mtindo huu, je nitakuwa nakosea nikitabili kuwa siku moja huko mbele tutakuja kuambiwa Benno Ndullu nae alifukuzwa kazi kama gavana wa BOT kwa kufanya kazi kwa maelekezo ya mabeberu? Na sasa hao hao wamemtafutia kazi huko aliko!!!
Hauko mbali na ukweli !
 
Dr Mwele twambie Zika iko wapi?
 
Kama ugonjwa ulikuwepo au upo, tutajuwaje kama wenye kutoa taarifa ya kuwepo au kutokuwepo wamekaa kimya baada ya uchunguzi ( wamezuiwa kusema kilichopo)?

Hata kuhusu EBOLA bado ni MTIHANI

SHERIA YA TAKWIMU ILITUNGWA KWA MAANA YA MAMBO KAMA HAYA,


ILI IWE SIRI.

Kwa hiyo una jaribu kutwambia kuwa Rais Magufuli ni bingwa wa kuficha magonjwa hahaha hivi huo ugonjwa wa Zika na Ebola uko wapi?
 
Mkuu jana nlikupa swali hukujibu.

Unaamini ni kweli angeweza kutoa taarifa kama hiyo bila wakubwa kujua?

Lile swala la kikokotoo unaamini rais alikua hajui mpaka akaishia kumtumbua yule mama?

Mkuu tumia akili vizuri na usipende kuamini kila kitu kinachosemwa na mwanasiasa.

Vipi Zika iko wapi? Ebola iko wapi? Yote yamekwenda WHO?
 
Hapa naona watu wameishia kunanga PhD tu..Lakini tumeshindwa kujibu kile alichohoji Mh Rais?je Zika iliishia wapi?Au Dr.Mwella aliondoka nayo kuirudisha UN-WHO?Mimi nataka kujua kama ilikuwepo ilimalizikaje?
Si kama dengue tu zimekuja zimeondoka...
 
Crap to thyself……!
Usiwe bwege na juha la kutupwa! Zika ni VIRUSI huwezi kuviona kwa macho kama vile una angalia runinga sebuleni……!
Daktari Mwele ni mubobezi ktk mambo ya Utafiti na anapowasilisha Research report ya ugonjwa wowote pamoja na watafiti wenzake aghalabu wanakuwa wamefikia htmisho……!
Tatizo ni pale MWANASIASA UCHWARA anapoingilia mambo na maswala ya KITAFITI……!!
Aliambiwa na nani atutangazie hivyo virusi nchi nzima ! Pumbavuu !
 
Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Umeanza vizuri mama. Malizia basi ya nani haipo ila kama unaogopa yasikukute yaliyomkuta Ben, basi nimekuelewa!
 
Na ile nyingineje? Sihitaji jibu kwa sababu umekwishatoa jibu katika mstari huo mmoja.
Huyu anatafuta sifa kwa kuwafukuza kazi wengine hata kama hawana makosa?
Na bahati mbaya sana bado anawaonea wivu wakipata kazi nzuri zaidi ya hizi za kwake. Anatamani angepewa aongoze dunia ili akamfukuze na huko aliko. Hatari sana.
 
Back
Top Bottom