Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

THE SEAL,
Maneno haya yamenikumbusha novel moja ya James Hadley Chase.....''This is for real''
Ulichokisema hapa ni ukweli mtupu kuhusu Bwana John Pombe Magufuli....!The man is so coward,weak and uncultured!

Kwenye principles za Management wanasema kiongozi ambaye ni dhaifu huwa ana wasiwasi sana kuhsu watu walio smart kuliko yeye na siku zote atajitahidi kuwa-suppress ili wasionekana na anakuwa na hasira sana pale inapoonekana wanampa challenges kwenye utawala wake!

Magufuli ni mtu aliyejaa HOFU,MASHAKA na WASIWASI mwingi ndo maana anafanya haya tunayoyaona. Wataalamu wa saikolojia wanasema Hofu au kwa kimombo FEAR ni changamoto kubwa sana kwa binadamu na inakuwa mbaya sana pale Kiongozi Mkuu wa nchi anapokuwa amejaa HOFU ndiyo maana wakatafisri kirefu cha FEAR= False Evidence Appearing Real. Kuna vitu viko wazi kabisa kwa hofu aliyo nayo Magufuli k.m. Ulinzi wake tunaona amezungukwa na TISS na JW wenye sialha za moto wakti wote....halafu hapo hapo jukwaani anasema ati...''Tanzania ni nchi ya AMANI,UPENDO na MSHIKAMANO........'' Two different pictures...!!!
thanks sir, stay blessed
 
Tua
Binafsi naamini Raisi naye anapenda kuanzisha Mijadala isiyo na tija.

Kwani ni lazima kusema kila Jambo linalomfurahisha au kumkera Sana?

Suala la Dk. Mwele lilishapita na hakutakiwa kulizungumzia tena kwa kuliunganisha na taasisi za kimataifa ambazo kesho na kesho kutwa tutahitaji msaada wao pale ambapo magonjwa ya mlipuko yatakapo tokea.

Jana nimeona BBC NEWS habari kubwa ilikuwa ni Raisi kumpongeza Ofisa aliye charaza wanafunzi viboko.

Huu nao pia ni mjadala mkubwa ambao ameuanzisha na hauna tija. Chanzo cha mjadala huu ni hotuba yake aliyoitoa Jana.

Mh. Raisi ajitahidi kuwa na kifua cha kuifadhi mambo hata kama yanamfurahisha au kumsikitisha.
Tuanzie hapa
Je ni kweli huyu Dr alitangaza kuwepo kwa ugonjwa wakati haupo?
Pia alitangaza kwa maslahi ya Nani?
Je baada ya kutumbuliwa,ugonjwa alioutangaza upo?
Hivyo basi kama alikuwa muongo au alitangaza kwa maslahi ya Mabeberu hakuna sababu ya kutomsema hadharani tena mchana kweupe
Happy naungana na Mh Rais
 
Magufuli amemponda sana huyu dada, eti alimfukuza kazi saa 7 na nusu usiku

Yaonesha anatembelea sana jf. hii ni kwa maana karekebisha kidogo tokea ile saa nane yake ya usiku aliyokuwa akituaminisha nayo kuwa hadi mida hiyo huwa yupo kazini.
 
Mkuu unaniaibisha, unalinganisha hali ya hewa na utangazaji wa ugonjwa!, kuutangaza mlipuko wa ugonjwa ni kazi ya waziri wa afya. Dada Mwele alipaswa kwanza kuongea na waziri wake ndipo atangaze kama zika imeingia Tanzania au la.

Zika Fever symptoms is as same as Dengue Fever symptoms.
  • rash
  • fever
  • headache
  • fatigue
  • conjunctivitis
  • joint pain
Dengue Fever:
  • rash.
  • muscle pain.
  • swollen lymph nodes.
  • headache.
  • fever.
  • exhaustion.
Hizo dalili marked in 'red' zinafanana ni kugeuza lugha badala ya fatigue unasema exhaustion(uchovu in swahili)

Kama mtu akisema wanaougua Dengue Fever yawezekana ni wagonjwa wa Zika Fever pia atakuwa amekosea? Tatizo hakuna wa kuthibitisha au ku-challenge vipimo vya Dengue maana Ummi Mwalimu na Wizara yale wote wanacheza ngoma ya Magufuli.Ukipinga tu watumbuliwa usiku wa manane....!!!
 
Zika Fever symptoms is as same as Dengue Fever symptoms.
  • rash
  • fever
  • headache
  • fatigue
  • conjunctivitis
  • joint pain
Dengue Fever:
  • rash.
  • muscle pain.
  • swollen lymph nodes.
  • headache.
  • fever.
  • exhaustion.
Hizo dalili marked in 'red' zinafanana ni kugeuza lugha badala ya fatigue unasema exhaustion(uchovu in swahili)

Kama mtu akisema wanaougua Dengue Fever yawezekana ni wagonjwa wa Zika Fever pia atakuwa amekosea? Tatizo hakuna wa kuthibitisha au ku-challenge vipimo vya Dengue maana Ummi Mwalimu na Wizara yale wote wanacheza ngoma ya Magufuli.Ukipinga tu watumbuliwa usiku wa manane....!!!
Tunarudi kulekule kwenye mamlaka ya kutangaza magonjwa. Ni procedures tu.
 
Swali lako lilitakiwa kujibiwa na Dr, Mwele Malecela lakini babu yako kamtimua....!!!
Wewe subiri siku ukiugua na Madaktari watakapo kuonesha vipimo na kukuambia wewe ni Mwathirika wa ZIKA...!!!
Umesoma na kujibu kwa haraka mno
 
Inakosekanaje Google sasa kwa mfano?! Hata kwenye repository ya London School of Hygiene and Tropical Diseases ipo! Ila tukitafuta za wanaoongea sana hata Google hazipo! Ukim-google japo ni PhD holder unakutana na picha za matukio tu, no machapisho no dissertation! Aibu hii!!
Duh! Unajua namna Google inavyokusanya habari?
 
Swali lako lilitakiwa kujibiwa na Dr, Mwele Malecela lakini babu yako kamtimua....!!!
Wewe subiri siku ukiugua na Madaktari watakapo kuonesha vipimo na kukuambia wewe ni Mwathirika wa ZIKA...!!!
Umesoma na kujibu kwa haraka mno
 
Back
Top Bottom