Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Mtakufa na presha za kuumbuka, huyo kahab wenu atatafuta uraia mwingine wenye maslahi ya mabeberu ka alivyofanya gay lis
Gay ni wewe nafamilia yako kama unaona ni sifa kumpa mwingine sifa mbaya ambayo hana.
Mwele hana shida ya kuombavuraia popote ni mzaliwa wa Tanzania kwa baba na mama na ni msomi anaweza kufanya kazi popote duniani na akabaki na uraia wake. Siyo mkimbizi wa kisiasa
Ni kweli ametumbuliwa na Magu lakini elimu haimtupi mtu. Huoni wanaotegemea siasa iwalinde wamekwenda kwa magoti kwa jiwe?
Halafu jiwe hawezi kutawala mpaka mwisho wa dunia ataondoka alisha wengine hiki ni kipindi cha mtoto maisha yanaendelea baada ya jiwe. Wewe hushangai tangu aondoke dikteta Mobutu wanepita wangapi? Waliokuwa uhamishoni wamerudi na wengine wampongeza nchi.
 
Mijadara kama hii inamuinua sana JPM kwenye nyanja za kimataifa hasa kwa watu makini.

Acheni kuogopa. JPM ameshaishika robo ya dunia inamuelewa sana.
Inamuelewa karma kiongozi mpumbavu na wa ajabu na wengine wanajua ni mpenda sifa wanampa sifa za uongo kwa malachi yao
 
Asante kwa hili dada yangu, but the problem is here, magufuli does not even have a clue what thesis is, inspite of him being called dr pombe magufuli, 2 people who have low thinking capacity,people who are academic dwarfs will always fear people who are or who have high intellect, magufuli really fears smart and intelligent people, thats why you see he is sorrounded by sycophants and bootlickers

THE SEAL,
Maneno haya yamenikumbusha novel moja ya James Hadley Chase.....''This is for real''
Ulichokisema hapa ni ukweli mtupu kuhusu Bwana John Pombe Magufuli....!The man is so coward,weak and uncultured!

Kwenye principles za Management wanasema kiongozi ambaye ni dhaifu huwa ana wasiwasi sana kuhsu watu walio smart kuliko yeye na siku zote atajitahidi kuwa-suppress ili wasionekana na anakuwa na hasira sana pale inapoonekana wanampa challenges kwenye utawala wake!

Magufuli ni mtu aliyejaa HOFU,MASHAKA na WASIWASI mwingi ndo maana anafanya haya tunayoyaona. Wataalamu wa saikolojia wanasema Hofu au kwa kimombo FEAR ni changamoto kubwa sana kwa binadamu na inakuwa mbaya sana pale Kiongozi Mkuu wa nchi anapokuwa amejaa HOFU ndiyo maana wakatafisri kirefu cha FEAR= False Evidence Appearing Real. Kuna vitu viko wazi kabisa kwa hofu aliyo nayo Magufuli k.m. Ulinzi wake tunaona amezungukwa na TISS na JW wenye sialha za moto wakti wote....halafu hapo hapo jukwaani anasema ati...''Tanzania ni nchi ya AMANI,UPENDO na MSHIKAMANO........'' Two different pictures...!!!
 
Nimekuelewa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kawaza aliifanya kwa kisukuma

Kumbee...!!Ndiyo maana hataki kwenda Ulaya maana atakutana na Madaktari wa ukweli na hataweza kutetea Thesis yake kwa Kisukuma....!!!!
 
Dr Mwele thesis yake ukiitafuta unaipata.Huwezi fananisha na phd za korosho hata kujiexpress au kupresent hoja ni zero brain hata std 7 failure hawezi hawezi kupresent.
 
Binafsi naamini Raisi naye anapenda kuanzisha Mijadala isiyo na tija.

Kwani ni lazima kusema kila Jambo linalomfurahisha au kumkera Sana?

Suala la Dk. Mwele lilishapita na hakutakiwa kulizungumzia tena kwa kuliunganisha na taasisi za kimataifa ambazo kesho na kesho kutwa tutahitaji msaada wao pale ambapo magonjwa ya mlipuko yatakapo tokea.

Jana nimeona BBC NEWS habari kubwa ilikuwa ni Raisi kumpongeza Ofisa aliye charaza wanafunzi viboko.

Huu nao pia ni mjadala mkubwa ambao ameuanzisha na hauna tija. Chanzo cha mjadala huu ni hotuba yake aliyoitoa Jana.

Mh. Raisi ajitahidi kuwa na kifua cha kuifadhi mambo hata kama yanamfurahisha au kumsikitisha.
Bonge la ushauri... Ataupata? Washauri wake watampatia?
 
Unamuita mtu beberu anayekusaidia 60% ya bajeti ya uchumi wako.Sema wazungu ni next level wangekuwa kama sisi wasingetusaidia.Sisi bado tuko level za kukomoana kukwamishana wao walishatoka huko.
 
Hivi ugonjwa wa ZIKA upoje na ueneaji wake upoje na unachukua muda gani kuenea kwa watu wengi kiasi cha kuonekana kutisha?

Swali lako lilitakiwa kujibiwa na Dr, Mwele Malecela lakini babu yako kamtimua....!!!
Wewe subiri siku ukiugua na Madaktari watakapo kuonesha vipimo na kukuambia wewe ni Mwathirika wa ZIKA...!!!
 
Hivi hivi PHD huwa zinaratibiwa na body ipi? Kama ni TCU hakika iko ICU mbona wengi wanazo lkn ni box empty kichwani hadi unajiuliza huyu alipita darasani au alikaa darasani,eti na wa Mbeya ana phd.
 
Huyo mwanamke alitangaza jambo hadharani pasipo kuongea kwanza na bosi wake ambaye ni waziri wa afya anayefanya kazi chini ya rais wa nchi.

Ukiwa msomi sana unajikuta katika hatari ya kuwa ni kiburi cha elimu yako, unasahau kuwa unaweza kuwa na elimu kumzidi bosi wako lakini unafanya kazi kwa muongozo wake. Wasomi wa kiafrika wanao udhaifu huo.

Acha kudanganya watu wewe..!!
Hivi Mkurugenzi wa Hali ya Hewa kila siku wanapotangaza UTABIRI WA HALI YA HEWA huwa lazima kwanza aongee na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi? That is unnecessary bureaucracy so to speak..!!!
 
Back
Top Bottom