Mimi natafuta ya mkuu wa kaya....Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi natafuta ya mkuu wa kaya....Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Endelea kuitafuta huenda ukafanikiwaMimi natafuta ya mkuu wa kaya....
Kwetu ni mwiko kukaa unagombana gombana na mwanamke.....hawa ni mama zetu wewe ulishafanya maamuzi ukamfukuza kazi..huu ndio ulikuwa mwisho wa mchezo.....
Haya leo yanatoka wapi?......ulitaka afe nini?
Ok kapata kazi...wengine wamempa wewe unaumia...kwani unamlipa wewe mshahara...very strange....tuache roho za hivi sijui huko makanisani tunafuata nini?..
Tuwafunze watoto zetu mambo mema ....
I m out
Acha ushamba wa kijuha kudhani kila anayemstukia kichaa wa magogoni ana uhusiano na Ufipa, wanasiasa wote ni walewale(my opinion) lakini kichaa mkuu hatakuja kuwa na busara kamwe kama mpaka umri huo aliofika na madaraka aliyonayo hajaweza kuwa hata na chembe za busara. He is a self-centered mental retarded asshole na ni tyrant flani anayefurahia ku'bully wenzake.Usitegemee hekima kutoka kwa Lofa aka Ufipa !
PhD ya mtu fulani haipo kabisaThesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Aliyekua Mkurugenzi Mkuu wa NIMRI Bi.Mwele malecela ameposti katika akaunti yake ya twitter maneno haya. Nadhani huu ni mrejesho baada ya tamko la Mwenye nyumba kuwa Daktari Mwele malecela alikua anatumika na MABEBERU.
View attachment 1223939
View attachment 1223982
View attachment 1223983
=====
RAIS John Pombe Magufuli, amesema moja ya sababu kumtumbua aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti za Kiafya NIMR, Mwele Malecela, ni kiongozi huyo kutoa taarifa ambazo hazikuwa sahihi kuhusiana na ugonjwa wa Zika.
Magufuli ametoa kauli hiyo akiwa mkoani Songwe, wakati alipofika kwenye ziara ya kikazi na kufanikiwa kuzindua kiwanda cha kahawa kilichojengwa na wajasiriamali wa Tanzania, ambapo amesema moja ya mambo ambayo yalipelekea kumtoa kwenye nafasi hiyo Malecelea ni kutangaza ugonjwa.
“Maneno huwa hayaishi, kuna wakati walitangaza kuna ugonjwa wa Zika nchini Tanzania, alipotangaza hivyo wakati mimi najua haupo nilimfukuza saa 7:30 usiku, wala hakuna cha Zika iliyotokea. Baada ya wiki moja wakamteua akawa bosi wao, hii ilionyesha alitumwa kusema aliyoyasema; hizi ni mbinu za kibeberu,” amesema Rais Magufuli.
Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Uko sahihi mkuu lakn kwa hulka za wanadamu huwa ni ngumu mno kushinda hali kama ile, muda mwingine tunaumizwa ama kufurahishwa na ishara ya haya ni mtu akiumizwa analia, anaweza pia kupigana hata ngumi yote hii ni ishara ya disscontent lakn pia akiwa na furaha atacheka, kutabasamu ama hata kuimba wimbo wenye kuonyesha hali ile, kwa mh Rais na tukio alilolitenda Dr Mwele bado inajimuktadhanisha na maelezo yangu haya na ukweli hakuna ugonjwa wa ZIKA uliokuja kutukia sasa swali tulitakiwa kujiuliza je zika aliizika dr mwele? Kwanini hakukuwa na hata dalili baada ya taarifa yake hyo na kutumbuliwa kwake? Kwanini Rais asionyeshe hasra zake kwa alichokifanya huyo mtumishi wa umma?
Muda mwingine tunashabikia ujinga tu lakn ukwel wa habar hii tulipaswa kujiuliza swali hili tu kwamba huu ugonjwa ulikuwepo kweli? Kwann ulipotea?
Labda alidhani huyu mama ni jamii ya limutuzThesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Kuna viongozi wa ajabu nchi hii!ZIKA ilizikwa na Magufuli…!
Mtanzania leo hii akifa na ugonjwa wa ZIKA ataambiwa kafa kwa ugonjwa USIOJULIKANA…!
Kwa awamu hii EBOLA=ZIKA=UGONJWA USOJULIKANA!
Ni sawa tu na kusema WATU WASIOJULIKANA…! Si jambo la ajabu kusikia Mhe.Tundu Lissu aliposema tuna Rais wa ajabu sana na baada ya muda mfupi WATU WASOJULIKANA WAKAMTWANGA RISASI mchana kweupe na hawajajulikana mpaka mtondogoo…!
Kuna viongozi wa ajabu nchi hii!
Hivi Tuhuma kubwa kama ya Lissu kupigwa risasi huna pakuanzia kisa dereva wake hayupo halafu unaunganisha na mauaji ya akina Chacha Wangwe(R.I.P) ukitaka kuwahusisha viongozi wa CDM.
OK, sasa tuseme viongozi wa CDM wanauhalali wa kupanga njama dhidi ya watu wao wenyewe kiasi kwamba vyombo vya ulinzi na usalama visiwakamate?
Madhara ya kuficha au kulea maovu nafikiri akina Nape wameshaona na kila moja ataona hata kama si moja kwa moja
Ila uncle Magu kautua mzigo pia. Roho kwaatu. Hakuna kuugua presha. Mambo ya kukaa na kitu rohoni ni ugonjwa.
Hii inaonyesha ni jinsi gani akitatizwa na mambo huwa anakosa usingizi.Magufuli amemponda sana huyu dada, eti alimfukuza kazi saa 7 na nusu usiku
THANKS MADAMAliyekua Mkurugenzi Mkuu wa NIMRI Bi.Mwele malecela ameposti katika akaunti yake ya twitter maneno haya. Nadhani huu ni mrejesho baada ya tamko la Mwenye nyumba kuwa Daktari Mwele malecela alikua anatumika na MABEBERU.
View attachment 1223939
View attachment 1223982
View attachment 1223983
=====
RAIS John Pombe Magufuli, amesema moja ya sababu kumtumbua aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti za Kiafya NIMR, Mwele Malecela, ni kiongozi huyo kutoa taarifa ambazo hazikuwa sahihi kuhusiana na ugonjwa wa Zika.
Magufuli ametoa kauli hiyo akiwa mkoani Songwe, wakati alipofika kwenye ziara ya kikazi na kufanikiwa kuzindua kiwanda cha kahawa kilichojengwa na wajasiriamali wa Tanzania, ambapo amesema moja ya mambo ambayo yalipelekea kumtoa kwenye nafasi hiyo Malecelea ni kutangaza ugonjwa.
“Maneno huwa hayaishi, kuna wakati walitangaza kuna ugonjwa wa Zika nchini Tanzania, alipotangaza hivyo wakati mimi najua haupo nilimfukuza saa 7:30 usiku, wala hakuna cha Zika iliyotokea. Baada ya wiki moja wakamteua akawa bosi wao, hii ilionyesha alitumwa kusema aliyoyasema; hizi ni mbinu za kibeberu,” amesema Rais Magufuli.
Shinda kubwa wa magufuli ni kwamba hataki kuambiwa kitu, anajifanya yeye ni mungu fulani hiviBinafsi naamini Raisi naye anapenda kuanzisha Mijadala isiyo na tija.
Kwani ni lazima kusema kila Jambo linalomfurahisha au kumkera Sana?
Suala la Dk. Mwele lilishapita na hakutakiwa kulizungumzia tena kwa kuliunganisha na taasisi za kimataifa ambazo kesho na kesho kutwa tutahitaji msaada wao pale ambapo magonjwa ya mlipuko yatakapo tokea.
Jana nimeona BBC NEWS habari kubwa ilikuwa ni Raisi kumpongeza Ofisa aliye charaza wanafunzi viboko.
Huu nao pia ni mjadala mkubwa ambao ameuanzisha na hauna tija. Chanzo cha mjadala huu ni hotuba yake aliyoitoa Jana.
Mh. Raisi ajitahidi kuwa na kifua cha kuifadhi mambo hata kama yanamfurahisha au kumsikitisha.
Asante kwa hili dada yangu, but the problem is here, magufuli does not even have a clue what thesis is, inspite of him being called dr pombe magufuli, 2 people who have low thinking capacity,people who are academic dwarfs will always fear people who are or who have high intellect, magufuli really fears smart and intelligent people, thats why you see he is sorrounded by sycophants and bootlickersThesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
taratibu mkuu, tiss watakusikiaHuwezi linganisha na ile thesis ya maganda ya korosho
Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
taratibu mkuu, tiss watakusikia