Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

thanks sir, stay blessed
 
Tua
Tuanzie hapa
Je ni kweli huyu Dr alitangaza kuwepo kwa ugonjwa wakati haupo?
Pia alitangaza kwa maslahi ya Nani?
Je baada ya kutumbuliwa,ugonjwa alioutangaza upo?
Hivyo basi kama alikuwa muongo au alitangaza kwa maslahi ya Mabeberu hakuna sababu ya kutomsema hadharani tena mchana kweupe
Happy naungana na Mh Rais
 
Magufuli amemponda sana huyu dada, eti alimfukuza kazi saa 7 na nusu usiku

Yaonesha anatembelea sana jf. hii ni kwa maana karekebisha kidogo tokea ile saa nane yake ya usiku aliyokuwa akituaminisha nayo kuwa hadi mida hiyo huwa yupo kazini.
 
Mkuu unaniaibisha, unalinganisha hali ya hewa na utangazaji wa ugonjwa!, kuutangaza mlipuko wa ugonjwa ni kazi ya waziri wa afya. Dada Mwele alipaswa kwanza kuongea na waziri wake ndipo atangaze kama zika imeingia Tanzania au la.

Zika Fever symptoms is as same as Dengue Fever symptoms.
  • rash
  • fever
  • headache
  • fatigue
  • conjunctivitis
  • joint pain
Dengue Fever:
  • rash.
  • muscle pain.
  • swollen lymph nodes.
  • headache.
  • fever.
  • exhaustion.
Hizo dalili marked in 'red' zinafanana ni kugeuza lugha badala ya fatigue unasema exhaustion(uchovu in swahili)

Kama mtu akisema wanaougua Dengue Fever yawezekana ni wagonjwa wa Zika Fever pia atakuwa amekosea? Tatizo hakuna wa kuthibitisha au ku-challenge vipimo vya Dengue maana Ummi Mwalimu na Wizara yale wote wanacheza ngoma ya Magufuli.Ukipinga tu watumbuliwa usiku wa manane....!!!
 
Tunarudi kulekule kwenye mamlaka ya kutangaza magonjwa. Ni procedures tu.
 
Swali lako lilitakiwa kujibiwa na Dr, Mwele Malecela lakini babu yako kamtimua....!!!
Wewe subiri siku ukiugua na Madaktari watakapo kuonesha vipimo na kukuambia wewe ni Mwathirika wa ZIKA...!!!
Umesoma na kujibu kwa haraka mno
 
Duh! Unajua namna Google inavyokusanya habari?
 
Swali lako lilitakiwa kujibiwa na Dr, Mwele Malecela lakini babu yako kamtimua....!!!
Wewe subiri siku ukiugua na Madaktari watakapo kuonesha vipimo na kukuambia wewe ni Mwathirika wa ZIKA...!!!
Umesoma na kujibu kwa haraka mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…