Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Alikuwa anazungumzia propaganda zinazoenezwa kwamba Tanzania kuna Ebola, ili watu wamwelewe ilikuwa ni lazima arejee yalotokea nyuma kwa kutolea huo mfano.
 
Ila kiukweli CCM safari hii umetuweza hahaha...
Kumfukuza kazi mwele saa saba na nusu Dr Mwele...so what......Duh

Kila siku beberu beberu so what...unafikiri kila mtu anaweza kuwa beberu hahaha...
Kitambaa cha nguo hata kuvaa kwenyewe kumeletwa na wazungu....leo beberu beberu.....hamna jambo lingine....kila siku wimbo huo huo....

Pamoja na madhaifu yake mara mia tano Jakaya angeendelea tu....This president is making life so boring...na bora angekuwa anasoma tu alichoandaliwa...naamini washauri wake wanatamani kumwambia hili sema tatizo ni hulka yake na woga wa kufukuzwa kazi saa saba na nusu usiku...
 
Sio wakati wa vijembe mkuu kashasema inatosha
Kwetu ni mwiko kukaa unagombana gombana na mwanamke.....hawa ni mama zetu wewe ulishafanya maamuzi ukamfukuza kazi..huu ndio ulikuwa mwisho wa mchezo.....
Haya leo yanatoka wapi?......ulitaka afe nini?
Ok kapata kazi...wengine wamempa wewe unaumia...kwani unamlipa wewe mshahara...very strange....tuache roho za hivi sijui huko makanisani tunafuata nini?..
Tuwafunze watoto zetu mambo mema ....
I m out
 
Dawa ya msaliti inajulikana, kama mimi ningekuwa Rais huyo mama nisingeishia kumtumbua tu, angepambana na kesi ya uhujumu uchumi.
 
Exactly! Alitaka huyu mama ateseke hapa kitaa bila kazi. Ile kwamba amepewa kazi tena kubwa kuliko hii aliyotumbuliwa imemuuma sana...tena inaonekana imemuuma muda mrefu maana kaongea kwa uchungu.
Tatizo magu roho ina muuma kwamba licha ya kumfukuza kazi huyo mama ameendelea kuchanja mbuga siku zote mwisho wa ubaya ni aibu hila ufanye wewe maumivu pia upate wewe
 
Tena huyu jamaa ndio anajiona Mkristo kweli kweli. Eti juzi anaongea kuhusu uzuri kwa kusamehe. Leo anaonyesha chuki na hila dhidi ya huyu mwanamke...yani alitaka ateseke kweli hapa nchini...na kweli angebaki nchini hapa hakuna kazi ambayo angepata maana inaokena alishakua blacklisted na mtukufu.
 

This president is a nut....!
Tunaweza kusema kwa ujumla Magufuli ni mtu mnafiki sana,mtu mwenye kinyongo,hasira,wivu wa kike,mmbeya na mwenye visasi kwa sana! Kwa sifa hizi this man wasn't supposed to be the Head of State……!
 

Kama ugonjwa ulikuwepo au upo, tutajuwaje kama wenye kutoa taarifa ya kuwepo au kutokuwepo wamekaa kimya baada ya uchunguzi ( wamezuiwa kusema kilichopo)?

Hata kuhusu EBOLA bado ni MTIHANI

SHERIA YA TAKWIMU ILITUNGWA KWA MAANA YA MAMBO KAMA HAYA,


ILI IWE SIRI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…