Dr. Mwele Malecela aula WHO

Huu uzi unatufundisha mengi......binadamu hata kama watapenda ufanikiwe...Lakini hawatapenda uwazidi. do better but not better than them. Ukisoma huu uzi unaona kabisa kuna watu wameumia.

Ndugu zangu, ndo mambo tunaongea humu kila siku: dunia ina fursa nyingi sana. Kwa uzoefu wangu, nafasi kama hii ya Dr. Mwele, HAIHITAJI government clearance or support. Ni weledi na taaluma yako. Hii inadhihirisha kwamba huyu dada/mama ni very competent. Kwenye post kama hii applicants siyo chini ya 1000! Sasa mpaka kutoboa ujue kabisa huyu ni habari nyingine. kazi za UN SIYO ZA KUGAWANA U-DC na U-RC wa Taifa letu pendwa!

Again, nampongeza sana Dr. Mwele. Aende atuwakilishe vizuri. Na hopefully pale atakapoweza kuunga mkono juhudi za waTanzania wenzake wanaotafuta fursa WHO na kwingineko........ itakapowezekana awape support!

Huu ni ushindi wa Taifa letu. inabidi Waziri Ummy Mwalimu na Mahiga on behlf of the Government amwandikie hata barua ya kumpongeza kwa kuteuliwa kwa hii nafasi. kwa nafasi kama hii (I am sure ni D-2) NI CHACHE SANA! na Kuipata..ni changamoto kubwa.....Kwa hiyo Tanzania lazima tujivunie haya mafanikio. Kwa wanaojua wananielewa.

God bless Tanzania.
 
ninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Hakuna Baraka za serikali hapo Ndugu..
Hizi post unatuma credentials zako wewe mwenyewe au la Organization husika wanaku approach wao directly na sio kupitia Serikali.
Kwa akili ya kawaida unafikiri Dr Mwele jinsi alivyosigana na Dikteta unafikiri serikali ingeweza kumpa baraka zozote..??
No.
Hizia appointments zote ni on her own effort.
Dikteta atakuwa anasaga meno huko lwa hasira.
Lazima tukubali serikali inadhalilika sana huyu mama anavyozidi kupanda.
 

kwakweli wanaume mmebaki wachache...mweleze hyo!
 
Huyu Dada ni smart sana aisee,mbona yule kaka yake ana akili za kitoto wakati ni ndugu moja ? Kweli Mungu muache aitwe Mungu tu .
 
Huyu dada serikali imemgharamia kumsomesha, halafu amefukuzwa unceremoniously.

WHO wanakuja kumchukua kirahiiisiii tu.

Kwa sababu ya upumbavu wa siasa za umungu mtu za Magufuli.
Huyu mzee yupoyupo tu hata hajijui kama yeye ni rais,anapenda visasi,ubabe,ujuaji hataki kuambiwa ukweli,ukisema ukweli wewe adui yake
 
Huyu mzee yupoyupo tu hata hajijui kama yeye ni rais,anapenda visasi,ubabe,ujuaji hataki kuambiwa ukweli,ukisema ukweli wewe adui yake
Ni ulimbukeni fulani.

Halafu huyu katika familia yake lazima kuna matatizo fulani huko nyuma, aliteswa sana, hakuoneshwa upendo, alinyanyaswa kwa aina fulani hivi.

Lazima kuna kitu kwenye familia huko.

Wazazi tuwe makini sana katika malezi ya mapenzi kwa watoto, unaweza kutengeneza monster kama Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…