Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
2015 aliomba ila kura hazikutosha , nadhani 2020 ajaribu tena , kuna kila dalili ya kushinda .Dr.Mwele for President.
cc😛ascal mayala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2015 aliomba ila kura hazikutosha , nadhani 2020 ajaribu tena , kuna kila dalili ya kushinda .Dr.Mwele for President.
cc😛ascal mayala
Ilishakutokea..[emoji41]
Una dalili za usubi, minyoo, trakoma, matende nkInakusaidia nini sasa??
Hakuna Baraka za serikali hapo Ndugu..ninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
kwa hiyo huyu mama anaongea cha malkia kuliko jiwe!!!!
Asije tu akamteua kuwa mganga mkuu hospitali ya wilaya ya chato.
Hakuna Baraka za serikali hapo Ndugu..
Hizi post unatuma credentials zako wewe mwenyewe au la Organization husika wanaku approach wao directly na sio kupitia Serikali.
Kwa akili ya kawaida unafikiri Dr Mwele jinsi alivyosigana na Dikteta unafikiri serikali ingeweza kumpa baraka zozote..??
No.
Hizia appointments zote ni on her own effort.
Dikteta atakuwa anasaga meno huko lwa hasira.
Lazima tukubali serikali inadhalilika sana huyu mama anavyozidi kupanda.
Baraka anatoa Mwenyezi Mungu tu,sababu yeye ndiye hakimu wa haki.ninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Huyu Dada ni smart sana aisee,mbona yule kaka yake ana akili za kitoto wakati ni ndugu moja ? Kweli Mungu muache aitwe Mungu tu .Dr Mwele has been appointed the Director of Control of Neglected Tropical Disease at WHO (Duty station: Headquarters, Geneva).
Dr Mwele was previously Director in the Office of the Regional Director for the Africa Region (Duty station: Brazaville, Congo). Before she joined WHO, she served as the Director General for the National Institute for Medical Research (NIMR) in Tanzania.
She is the first woman to hold this position.
She is also director of the Tanzania Lymphatic Filariasis Elimination Program. Dr. Malecela holds a Bsc in zoology from the University of Dar es Salaam and an Msc and PhD in parasitology from the University of London (London School of Hygiene and Tropical Medicine). She specialized in filarial immunology, specifically on filarial immune evasion mechanisms.
Dr. Malecela has worked at the National Institute for Medical Research for 24 years, where she started off as a junior scientist. As director general, she has focused on institutional strengthening, research capacity building, and the translation of research into action, policy and practice.
Dr. Malecela has been in the forefront of priority setting for health research activities in Tanzania where she facilitated the Tanzania National Health Research Priority Setting process in 1999 and revision of these priorities in 2005.
Dr. Malecela chairs the Medical Research Coordinating Committee (MRCC), which is the main body responsible for oversight of health research in the country. She has served on a number of international committees including the Technical Advisory Group of the Global Program to Eliminate Lymphatic Filariasis, the Mectizan Expert Committee and the advisory board of the Initiative on Public/Private Partnerships in Health (IPPPH).
Dr. Malecela is currently a member of the WHO Strategic and Technical Advisory Committee for Neglected Tropical Diseases and a member of the Medicine in Need Steering Committee on Innovation, Alliance and Translation Management (MITAM).
Dr. Malecela is also on the International Advisory Board of Grand Challenges Canada. She is an adjunct faculty member of the Public Health Sciences Institute of Morehouse College. Dr. Malecela was president of the Global Alliance to Eliminate Lymphatic Filariasis and chair of the representative contact group of the Alliance.
She has also been involved in a number of philanthropic organizations, chairing the Tanzania Chapter of the African Reflections Foundation and is on the advisory board of the Lake Tanganyika Floating Health Clinic.
Dr. Malecela is patron and Founder of the IMANI Group, which is a support group of people living with HIV/AIDS.
=======
Kwa wazungumza Kiswahili:
Hongera sana, Dr Mwele....
Kumbe ni zao la Chama chetu pendwa!!! Ila sijjasoma popote km ana watoto wangapi kwani kuolewa Sio issue!!Hongera Sana Mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu
True !Mkuu kama ingekuwa ni baraka za serikali ndizo zinamfanya mtu uteuliwe WHO, hivi kweli serikali ingeacha kumbariki Bashite ikambariki Dr. Mwele.
HahahaaaaLe Mutuz unaona dada zako wanavyotesa? Wewe umebakia kujikomba komba kwa watu wasio na maana!!
Kumbe ni zao la Chama chetu pendwa!!! Ila sijjasoma popote km ana watoto wangapi kwani kuolewa Sio issue!!
Jiwe ni kichaa yeye anapenda kuabudiwa na wapumbavu kama maprof wake aliowajaza kwenye serikali yakeMagufuli kasema wa nini, WHO wakasema tutampata lini?
Magufuli is a country bumpkin.
Huyu dada serikali imemgharamia kumsomesha, halafu amefukuzwa unceremoniously.Jiwe ni kichaa yeye anapenda kuabudiwa na wapumbavu kama maprof wake aliowajaza kwenye serikali yake
Huyu mzee yupoyupo tu hata hajijui kama yeye ni rais,anapenda visasi,ubabe,ujuaji hataki kuambiwa ukweli,ukisema ukweli wewe adui yakeHuyu dada serikali imemgharamia kumsomesha, halafu amefukuzwa unceremoniously.
WHO wanakuja kumchukua kirahiiisiii tu.
Kwa sababu ya upumbavu wa siasa za umungu mtu za Magufuli.
Ni ulimbukeni fulani.Huyu mzee yupoyupo tu hata hajijui kama yeye ni rais,anapenda visasi,ubabe,ujuaji hataki kuambiwa ukweli,ukisema ukweli wewe adui yake