ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Nenoninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Hii mijitu mingine ya matukio ni ovyo kabisa walahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenoninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Kwi kwii kwiiii.. ila kwa mkuu wa mkoa kutolea maelezo ya kitabibu kwa DMO ni sawa.DC kumkadiria mwekezaji kodi ni sawia?Kiutaaluma aliingilia mamlaka isiyomuhusu na anajua hilo.
Ila weye huwa lipumbavu Sana. Mtu atakayekuoa atakula hasara Sana. Clown!Kwenda zako na mi - walahi yako.Wala hashtuki, wewe kaa na umasikini wako tu walahi
Pumba kabisa walahi
Kwani hizo reli si zimetoka kwa hao hao waliomuajiri mwanamama mliyemtumbua?Bado unaishi kwa matukio?? Hiyo nafasi ndio itakujengea reli, itakujengea barabara, itakuletea dreamliner, itakununulia vivuko..ifike mahali mpunguze mihemko ya kisiasa..nipe mafanikio ya nchi asharose migiro alipokuwa deputy general UN..
Barikiwa kwa jibu lako lililotuliaNafarijika kuona mtanzania akifanikiwa kushika nafasi kubwa duniani kwenye shirika la Afya Ulimwenguni.
Alfu lela ulela! Hekaya za Abunwasi!Esopo..!
Jiwe walilolikataa waashi............Dr Mwele has been appointed the Director of Control of Neglected Tropical Disease at WHO (Duty station: Headquarters, Geneva).
Dr Mwele was previously Director in the Office of the Regional Director for the Africa Region (Duty station: Brazaville, Congo). Before she joined WHO, she served as the Director General for the National Institute for Medical Research (NIMR) in Tanzania.
She is the first woman to hold this position.
She is also director of the Tanzania Lymphatic Filariasis Elimination Program. Dr. Malecela holds a Bsc in zoology from the University of Dar es Salaam and an Msc and PhD in parasitology from the University of London (London School of Hygiene and Tropical Medicine). She specialized in filarial immunology, specifically on filarial immune evasion mechanisms.
Dr. Malecela has worked at the National Institute for Medical Research for 24 years, where she started off as a junior scientist. As director general, she has focused on institutional strengthening, research capacity building, and the translation of research into action, policy and practice.
Dr. Malecela has been in the forefront of priority setting for health research activities in Tanzania where she facilitated the Tanzania National Health Research Priority Setting process in 1999 and revision of these priorities in 2005.
Dr. Malecela chairs the Medical Research Coordinating Committee (MRCC), which is the main body responsible for oversight of health research in the country. She has served on a number of international committees including the Technical Advisory Group of the Global Program to Eliminate Lymphatic Filariasis, the Mectizan Expert Committee and the advisory board of the Initiative on Public/Private Partnerships in Health (IPPPH).
Dr. Malecela is currently a member of the WHO Strategic and Technical Advisory Committee for Neglected Tropical Diseases and a member of the Medicine in Need Steering Committee on Innovation, Alliance and Translation Management (MITAM).
Dr. Malecela is also on the International Advisory Board of Grand Challenges Canada. She is an adjunct faculty member of the Public Health Sciences Institute of Morehouse College. Dr. Malecela was president of the Global Alliance to Eliminate Lymphatic Filariasis and chair of the representative contact group of the Alliance.
She has also been involved in a number of philanthropic organizations, chairing the Tanzania Chapter of the African Reflections Foundation and is on the advisory board of the Lake Tanganyika Floating Health Clinic.
Dr. Malecela is patron and Founder of the IMANI Group, which is a support group of people living with HIV/AIDS.
=======
Kwa wazungumza Kiswahili:
Hongera sana, Dr Mwele....
sizitaki mbichi hizi. Kwani mlipomfukuza kazi iliwasaidia niniInakusaidia nini sasa??
Baraka za serikali kivipi? Hebu tuondoe tongotongo...ninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Nani aliyesema ni sawa?Kwi kwii kwiiii.. ila kwa mkuu wa mkoa kutolea maelezo ya kitabibu kwa DMO ni sawa.DC kumkadiria mwekezaji kodi ni sawia?
Hakubalikinabii akubaliki nyumbani..
Are you sure? Zakuambiwa changanya na zako.Ndiye.pia ni mjinga anajiunga na mange kumdharirisha le kibamia
In short yule mzee sijui ana mkosi gani hawa wanae chenga tu
Shetani hajawahi kumshinda MunguMlango mmoja wa rizki ukifungwa na Mwanadamu basi Mungu hufungua mingine 10