The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Nimemwambia mwenyekiti wangu wa kule kijijini ajipange kupokea mil 50 na pia mwwenyekiti wangu wa mtaa kupokea mil 50. Ni raha tupu
Wizi wa kura umemuweka madarakani, Mungu atalipa!
Hogereni watanzania, tumepata Rais,
Hongera kwako Dr. Magufuli kwa kupewa dhamana hiyo na watanzania.
Sasa ni kazi tu.
Mtajua wenyewe na li-nchi lenu.
Mnaosema hapa kazi msije mkalalamika kuwa hamna kazi. Tunasubiri viwanda nchi nzima. Tunasubir mil50 kila kijiji.
Hogereni watanzania, tumepata Rais,
Hongera kwako Dr. Magufuli kwa kupewa dhamana hiyo na watanzania.
Sasa ni kazi tu.
siji kupiga kura tena mpaka nakufa