Tetesi: Dr. Ramadhani Dau apigwa marufuku uzinduzi wa Daraja la Kigamboni

Status
Not open for further replies.
Duu, huyu mtoa maada amulikwe, anaweza kuwa shahidi mzuri sana. Who is Dau anyway?? A THIEF!! Mtu utatumiaje hela za watu at an inflated rates na kufanyia vikao vya bodi DUBAI, halafu unataka ukumbukwe,, KWA LIPI? UBADHIRIFU.?
Kwanza apigwe marufuku hata kupita kwenye hilo daraja kabisa huyo fisadi
 
Kuna chuki kali sana dhidi ya Dr Dau, hilo liko wazi.
Hata wasipomualika, ukizungumzia ujenzi wa daraja la Kigamboni, JK, JPM na Dr Dau majina yao yataandikwa kwenye kurasa za dhahabu
Hakuna chuki yoyote dhidi ya Dau, bali kuna chuki kali dhidi ya majizi yote akiwemo Dr Dau kama hawa, Liyumba, Chengeee, Tiba, Mkwele,Rizmoko and likes, ila ukivaa miwani ya udini huwezi kuzijuwa fact hizi hapa

Mattaka ndio amejenga PPF Tower na Geneva of Africa Arusha na tumemtia jela

Pili Liyumba ndio amejenga Bot twin tower na jiji kupendeza na tumemtia jela pia.

Sasa ni zamu ya Dr Dau kunyea debe.
 
Hakuna chuki yoyote dhidi ya Dau, bali kuna chuki kali dhidi ya majizi yote akiwemo mdau, kama hawa, Liyumba, Chengeee, Tiba, Mkwele,Rizmoko and likes, ila ukivaa miwani ya udini huwezi kuzijuwa fact hizi hapa

Liyumba ajenge BOT twin towers? Na gavana je?

By the way usichanganye vimiradi vidogovidogo kama kujenga magorofa na miradi mikubwa yenye kuinvolve state of art technologies kama daraja la kigamboni.
Daraja hili halipo east and central Africa
 
Tatizo lako bint yangu ukishakula mirungi yako na gomba kutoka kwa yule jamaa yako mwarabu basi unachowaza ni kuhamishia mizuka yako JF....

Mtu una zaid ya miaka 30 unakaa na kula kwa mama vip utaweza kuwa na akili timamu kichwan?

Haya turudi katika huo uozo wako unaoumwaga hapa...nikikuambia uweke ushahid wa hicho unachokiongea unaweza kuweka?

Wewe nenda kaendelee na kazi yako ya kuuza CDs za bongo movies na bongofleva na kuhemea ugali hapo kwa mama matola...

Kujifanya unajua kuongea mambo ya wanaume tena usiyo na uhakika nayo mwishowe utaolewa
Hakuna chuki yoyote dhidi ya Dau, bali kuna chuki kali dhidi ya majizi yote akiwemo mdau, kama hawa, Liyumba, Chengeee, Tiba, Mkwele,Rizmoko and likes, ila ukivaa miwani ya udini huwezi kuzijuwa fact hizi hapa

Mattaka ndio amejenga PPF Tower na Geneva of Africa Arusha na tumemtia jela

Pili Liyumba ndio amejenga Bot twin tower na jiji kupendeza na tumemtia jela pia.

Sasa ni zamu ya Dr Dau kunyea debe.
 
CgMY_7bXIAAh3vy.jpg

Kuna habari zimeenea kwenye mitandao ya kijamii toka juzi kuwa Waziri wa Kazi na ajira Jenista Mhagama na Katibu Mkuu wa hiyo wizara Eric Shitindi wametoa agizo kwa shirika la NSSF wasimwalike aliyekuwa DG wa shirika hilo Dr Ramadhani Dau kwenye sherehe za ufunguzi wa Daraja hilo wiki Ijayo.

Ikumbukwe kuwa Dr Ramadhani Dau amepigania hili daraja lijengwe kwa miaka yote aliyokuwepo kwenye hilo shirika mpaka aliopoondolewa wiki chache zilizopita.Sitaki kuingilia ugomvi na vita vinavyoendelea kati ya akina Magori, Eunice Chieume, Jenista Mgahama na Eric Shitindi lakini kama ni kweli bas sidhani kama Dr Dau alistahili kudhalilishwa kiasi cha kupigwa marufuku kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa hili Daraja. Pia sidhani kama Mheshimiwa Rais Magufuli atafurahia uamuzi huu wa uongozi mpya wa NSSF na Wizara.

Punguza mihemko,kwani ni Dau amejenga au NSSF? Na kama ni NSSF na Dau is no longer part of it why should we bother !
 
CgMY_7bXIAAh3vy.jpg

Kuna habari zimeenea kwenye mitandao ya kijamii toka juzi kuwa Waziri wa Kazi na ajira Jenista Mhagama na Katibu Mkuu wa hiyo wizara Eric Shitindi wametoa agizo kwa shirika la NSSF wasimwalike aliyekuwa DG wa shirika hilo Dr Ramadhani Dau kwenye sherehe za ufunguzi wa Daraja hilo wiki Ijayo.

Ikumbukwe kuwa Dr Ramadhani Dau amepigania hili daraja lijengwe kwa miaka yote aliyokuwepo kwenye hilo shirika mpaka aliopoondolewa wiki chache zilizopita.Sitaki kuingilia ugomvi na vita vinavyoendelea kati ya akina Magori, Eunice Chieume, Jenista Mgahama na Eric Shitindi lakini kama ni kweli bas sidhani kama Dr Dau alistahili kudhalilishwa kiasi cha kupigwa marufuku kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa hili Daraja. Pia sidhani kama Mheshimiwa Rais Magufuli atafurahia uamuzi huu wa uongozi mpya wa NSSF na Wizara.

Mkuu unajua wangekufahamu wewe ni nani wasingechangia.Acha hizo umeshakua bhana

Tangu ule mjadala wa siku ile kuhusu possibility ya uteuzi wa Susan Rice au Kerry kama Secretary of State leo ndio nimekuona umeirudia tena hii ID.

Mwali na Bishanga baada ya kuvuliwa nguo walizifutilia mbali ID zao na sasa wako na ID nyingine zile.

Halafu kuna kitu ambacho sio kizuri kwa mtu wa Calibre yako hupaswi kukipandikiza hapa. Hebu tumia zile busara zako kama vile upo kwa ID yako Real mkuu.Acha hizo bhana
 
Liyumba ajenge BOT twin towers? Na gavana je?

By the way usichanganye vimiradi vidogovidogo kama kujenga magorofa na miradi mikubwa yenye kuinvolve state of art technologies kama daraja la kigamboni.
Daraja hili halipo east and central Africa
Tatizo akili yako ya madrasa hujui Liyumba alikuwa nani BOT, by the way ona Makaburu walichofanya South Africa.

1460871211482.jpg
1460871222089.jpg
 
Tatizo akili yako ya madrasa hujui Liyumba alikuwa nani BOT, by the way ona Makaburu walichofanya South Africa.

View attachment 339422View attachment 339423

Duu mkuu mlinganisho wako nimeupenda....unajua kuna watu wanadhani eti hapa tanzania kuna kitu kinafanyika...we acha tu...kuna jamaa mmoja nilimkuta mishipa ya shingo imemtoka eti anabwata kuwa dar ni Kubwa sana kwa hyo haiwezi kuwa safi hata siku moja....nilimwangaliaaa...nikatamani nimpige kibao niondoke ila kwa jinsi nilivomuaona nikaona nitaanzisha mengine...kwa kifupi watanzania kuna vtu tunavojivunia lakini huko duniani vimeshapitwa hata na wakati kabisa...yaani huyu mtu aliyetologa kama hajafa bado inabidi tukamwangukie ili areverse mambo la sivo kuna shida kweli kweli....
 
Kwa sababu Wabongo wengi hawasafiri na kuona wenzetu walipo basi ngoja niendelee kumuwekea huyu mdau image za Johannesburg peke yake ili ajuwe Dunia iko mbali kuliko anavyofikiri yeye.

1460873481170.jpg
1460873488954.jpg
1460873496859.jpg
 
Waalikwe wote wa NSSF au hao hawakuwa na mchango ktk ujenzi huo wa daraja
 
Kwa sababu Wabongo wengi hawasafiri na kuona wenzetu walipo basi ngoja niendelee kumuwekea huyu mdau image za Johannesburg peke yake ili ajuwe Dunia iko mbali kuliko anavyofikiri yeye.

View attachment 339430View attachment 339431View attachment 339432

Mkuu wangu ukiangalia kinachotarajiwa kujengwa pale tazara ambacho tunakiita flyover....sijui tu...ila Mungu atausaidie tu kizazi hiki kipite labda kitakachokuja kitakuwa na uafadhali ila ninavoona tunakoelekea ndo kituko kuliko tulikotoka...mwenyenzi Mungu atuhurumie tu jamani..
 
Mbona yeye Dr Dau hskumualika JPM wakati akiwa waziri wa Ujenzi siku ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja na Kigamboni???

Hivi kwanini huyu Dr Dau anatetewa kwa nguvu hivyo? Ni nini kimejificha nyuma ya utetezi huu?

Jamaa alishasema akichukua nchi MTALIMIA MENO mkafikiri eti anatania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom