Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Toto 1 Simba 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Kuna habari zimeenea kwenye mitandao ya kijamii toka juzi kuwa Waziri wa Kazi na ajira Jenista Mhagama na Katibu Mkuu wa hiyo wizara Eric Shitindi wametoa agizo kwa shirika la NSSF wasimwalike aliyekuwa DG wa shirika hilo Dr Ramadhani Dau kwenye sherehe za ufunguzi wa Daraja hilo wiki Ijayo.
Ikumbukwe kuwa Dr Ramadhani Dau amepigania hili daraja lijengwe kwa miaka yote aliyokuwepo kwenye hilo shirika mpaka aliopoondolewa wiki chache zilizopita.Sitaki kuingilia ugomvi na vita vinavyoendelea kati ya akina Magori, Eunice Chieume, Jenista Mgahama na Eric Shitindi lakini kama ni kweli bas sidhani kama Dr Dau alistahili kudhalilishwa kiasi cha kupigwa marufuku kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa hili Daraja. Pia sidhani kama Mheshimiwa Rais Magufuli atafurahia uamuzi huu wa uongozi mpya wa NSSF na Wizara.
Mkuu unajua wangekufahamu wewe ni nani wasingechangia.Acha hizo umeshakua bhana
Tangu ule mjadala wa siku ile kuhusu possibility ya uteuzi wa Susan Rice au Kerry kama Secretary of State leo ndio nimekuona umeirudia tena hii ID.
Mwali na Bishanga baada ya kuvuliwa nguo walizifutilia mbali ID zao na sasa wako na ID nyingine zile.
Halafu kuna kitu ambacho sio kizuri kwa mtu wa Calibre yako hupaswi kukipandikiza hapa. Hebu tumia zile busara zako kama vile upo kwa ID yako Real mkuu.Acha hizo bhana
haya bana,..endeleeni tu kuparurana. sisi tunasema mradi ni mardadi ila bei tumepigwa.
Wapuuzi wote ambao hawawezi kujenga hoja wala kuwa na akili fikirishi ambazo zitawatoa nje ya makundi ya kiitikadi na ya kidini na wakaweza kukubalika na makundi yote.Hakuna chuki ya Dau, bali kuna chuki kali dhidi ya majizi yote akiwemo Dr Dau kama hawa, Liyumba, Chengeee, Tiba, Mkwele,Rizmoko and likes, ila ukivaa miwani ya udini huwezi kuzijuwa fact hizi hapa
Mattaka ndio amejenga PPF Tower na Geneva of Africa Arusha na tumemtia jela
Pili Liyumba ndio amejenga Bot twin tower na jiji kupendeza na tumemtia jela pia.
Sasa ni zamu ya Dr Dau kunyea debe.
Hakuna lolote wewe ahawa jamaa wanawekeza ktk miradi kwa ajili ya 20% wanachama wanacholipwa ni UPUUZI mtupu na manyanyaso juu!Wanaweza kwenye miradi mbalimbali ili kupata faida ya kuwalipa wanachama wao
Mkuu kuna vijitu vina akili ya kuku kweli kweli humu! hata ukimwambia facts kwa kuwa ni.... basi wanatetea kwa nguvu zote! Mie namshukuru Mola hakunipa akili KUTU kama zao!Wapuuzi wote ambao hawawezi kujenga hoja wala kuwa na akili fikirishi ambazo zitawatoa nje ya makundi ya kiitikadi na ya kidini na wakaweza kukubalika na makundi yote.
Nyerere aliweza, wakati wake aliweza kukaa na wazee wa Dar akanywa nao kahawa na kucheza nao bao, aliweza kukaa na wasomi wakamuelewa, ila hawa waso na hoja jadidi wanaotetea wahalifu kwa misingi ya imani ni wabaya kuliko hata majizi yenyewe. Ukiwa na akili timamu na unaipenda nchi yako tena una uzalendo moyoni unaweza kumsifia mtu aliyenunua heka moja ya ardhi kwa shilingi takriban billion moja?
![]()
Kuna habari zimeenea kwenye mitandao ya kijamii toka juzi kuwa Waziri wa Kazi na ajira Jenista Mhagama na Katibu Mkuu wa hiyo wizara Eric Shitindi wametoa agizo kwa shirika la NSSF wasimwalike aliyekuwa DG wa shirika hilo Dr Ramadhani Dau kwenye sherehe za ufunguzi wa Daraja hilo wiki Ijayo.
Ikumbukwe kuwa Dr Ramadhani Dau amepigania hili daraja lijengwe kwa miaka yote aliyokuwepo kwenye hilo shirika mpaka aliopoondolewa wiki chache zilizopita.Sitaki kuingilia ugomvi na vita vinavyoendelea kati ya akina Magori, Eunice Chieume, Jenista Mgahama na Eric Shitindi lakini kama ni kweli bas sidhani kama Dr Dau alistahili kudhalilishwa kiasi cha kupigwa marufuku kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa hili Daraja. Pia sidhani kama Mheshimiwa Rais Magufuli atafurahia uamuzi huu wa uongozi mpya wa NSSF na Wizara.
Kama ni kweli ni dharau sana. Baniani mbaya kiatu chake dawa
Wanachama wa NSSF ambao michango yao ndio imejenga hilo daraja nao wamealikwa?
Unajua Gharama za ujenzi zitarudi baada ya miaka mingapi ili nssf waanze kupata faida.
Kumbuka pia kuwa ujenzi wa madaraja is not their core business. Kuwekeza mitaji mikubwa ktk non core businesses kunaweza kulifilisi shirika.
Kwani aliyejenga Nkrumah Hall unamkumbukaje?Jina la Dr Dau litakumbukwa kwa mchango wake kufanikisha ujenzi wa daraja miaka mingi ijayo lakini sherehe za ufunguzi ni siku moja tu
Kwa lipi mdau KWA LIPI?Duu, huyu mtoa maada amulikwe, anaweza kuwa shahidi mzuri sana. Who is Dau anyway?? A THIEF!! Mtu utatumiaje hela za watu at an inflated rates na kufanyia vikao vya bodi DUBAI, halafu unataka ukumbukwe,, KWA LIPI? UBADHIRIFU.?